ndo haya tunayakusanys mjifaifie kwa raha zenu
unamzungumzia yupi....maana wewe uanao wengi dadangummmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni siri za biashara ila ngoja nijibu tu.1.mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi kuwe na time table!!!!! Hell no! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, emirates na anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya sydney sheldon!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( noma kna siku alirudi na maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, nilizamaje uvunguni fasta!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)3.nyingine ni design za kaba koo, mtu yupo busy na match au tv we umelala mwenyewe unangoja aje, nainuka na khanga naenda kunywa maji ya uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(tatizo akisikia goooooooooo!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)4.nikiona amenuna kama cobra almanusura kupasuka, nampooza kidogo manaake hawakawii hawa!5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.
Graca,ulichokisema wewe ni very specific case.
Swala la mapenzi au sex lina vitu vingi sana na ndo maana hakuna uniformity kabisa.
Na miongoni mwa vitu vinavyo leta utofauti ni kama;
1.Age za partnerz
2.Kazi zao
3.Stress
4.Lifestyle
5.Mahali unapoishi
6.Mazingira mtu aliyokulia,na mengine mengi.
Mfano experience atayokupa 'Neylu' itategemea factorz nilizotaja hapo juu kwa upande wake na haiwezi ku-work out perfectly kwako!
So u beta focus on studying ur patner rather than relying on advice that wont help u.
Kama hashei Ofisi na mtu, mfuate ukampe cha ufisini!
Mcheleweshe kazini mara moja moja!
Mtegeshee ukiwa unadeki chumbani kwenu, usiwe umevaa lijichupi lkn!
Kukiwa na wageni nyumbani, muite chumbani as if kuna kitu serious; mchojoe na kummyonya kidogo; then mrudi mkawaattend wageni. (cha wizi hicho).
Inatosha, (mume wangu yuko humu humu)! LOL
Ila usisahau kuikalia mkiwa nje kwenye balcon usiku taa zikiwa zimezimwa!
unamzungumzia yupi....maana wewe uanao wengi dadangu
Usijitie shabiki maandazi kutiwa hamira kidogo kuumuka beseni zimaaaaaaaaaaaa!! HAO WENGI ULINIPA WEWE! Kujifanya wanijua sanaaaaaaa!!! JIANGALIE MTOTO WA KIUME!!!!!! UTASUTWA NA MASHUJAA BAND!!!!!!
Hizi topic zenu zitavunja ndoa za watu,wenyewe washajizoelea game mara 1 au 2 kwa wiki,tena hadi usiku watoto wakishalala,round 1 tu ili wasichoshane sana,sasa mtu akishawasoma wakina lara1 akayapeleka nyumbani kwake ili akafanye madadiliko afu ikashindika ndo anajikuta anaanza kuwa na kazi za nje
lo nenohilo nalo nenoooooooUsijitie shabiki maandazi kutiwa hamira kidogo kuumuka beseni zimaaaaaaaaaaaa!! HAO WENGI ULINIPA WEWE! Kujifanya wanijua sanaaaaaaa!!! JIANGALIE MTOTO WA KIUME!!!!!! UTASUTWA NA MASHUJAA BAND!!!!!!
inaelekea Graca una ujuzi wa kipekee ambao unakufanya uweze kumkamata mpenzi wako kisawasawa.
amekua amukufa na ameoza kabisa kabisaa, hasikii wala haoni, hafurukuti kwa hakika wewe mkali ile mbaya.
huwa nashindwa kuelewa maana hata ma ex niliowamwaga full kunniganda..
Mademu wanaojifanya ni wataalam wa kuelezea, kunako bed hamna kitu. Niliwahi opoa mmoja, tukiwa bado maeneo ya starehe mbwembwe zilikuwa nyingi saaaaaaaaaaaaana. Akushike, akubusu, baby nyiiiiiiiiiiingi, hizi zote ziliisha alipoingia rum. Kam gogo vile tena anakuna na nywele busy, hana tyme na kinachoendelea. So maneno si matendo.