balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,786
- 15,570
Akishakamilisha hayo pia awe anajua kubanduana na aisafishe ikuwe safiii,hapana toa harufu.Hebu dadavua hapo kwenye kitandani awe vizuri...? Awe ameoga,amejipodoa,amevaa nguo nzuri,umbo la kubutia akiwa mtupu ama?
Kweli kuna dem mmoja ninampango wakumuacha kwasababu anaongeaongea sana, inshu ndogo atabwatuka karibia siku nzimaUmesahau 'kukaa kimya'
wakati mwingine mwanamke anatakiwa tu anyamaze kiimya
ili mtu kichwa kitafakari ya maana
sio kuta tu kuongea ongea
Hili muhimu sana. Ongezea na ile Mtu yupo kazini halafu anataka kuchati saa nzimaUmesahau 'kukaa kimya'
wakati mwingine mwanamke anatakiwa tu anyamaze kiimya
ili mtu kichwa kitafakari ya maana
sio kuta tu kuongea ongea
Hili muhimu sana. Ongezea na ile Mtu yupo kazini halafu anataka kuchati saa nzima
[emoji108]Habari za majukumu wapendwa??
Wanawake wengi hawajui nafasi ya mime, hivyo kufanya mambo kiholela na kujikuta NDOA inaanza kuleta matatzo.
Jinsi ya kumlinda mumeo:
1. MAPISHI
Unapokua upo jikoni unaandaa chakula,, no lazma ujue kuwa anaekula ni Mumeo,,hivyo ni vizuri ukatumia ujuzi wako wote kuhakikisha mumeo anakula chakula kizuri. Wanawake wanapika chakula kizuri cku za ckukuu ndo anajitahidi kutumia uelewa wake wote ktk kupika ili tu aonekane na majirani.
Au cku ukickia mumeo anakuja na mgeni rafki yake alafu yamkini ni MTU mwwnye cheo Fulani ndo unataka upike vizuri.
KWA IYO UCTAKE KUPIKA VZR ETI KWA SBB KUNA MGENI AMEKUTEMBELEA BALI IWE NDO TABIA YAKO KWA MUMEO
2. USAFI
Wanawake bado hawajajua kuwa usafi ni kivutio pia kikubwa kwa mwanamume. Na km tunavyojua kuwa usafi maana yake in ""kila kitu mahali pake""
Sasa wanawake utakuta vijiko vya chakula vipo kwny kitanda eti kwa sbn tu anamtoto mdogo. Au nguo za mikojo ya mtoto unaweka chini ya kitanda mpk zinaanza kutoa Harufu. USAFI NI MUHIMU SANA, IWE KWAKO MKE, AU MAZINGIRA YA NYUMBA. NA HAPA CMAANISHI KUWA MSAFI KWA MAANA YA KUJIPODOA.
3. MANENO MAZURI
Mke ni lazma ujue maneno ya kuongea na mumeo. Maneno mazuri yatamlinda mumeo pale atakapoyackia kwa wengne. NA HATA KAMA MUMEO HATAONYESHA KUJALI,,,BADO WEWE MKE UNATAKIWA KUENDELEA KUKAA KWNY IYO NAFASI.
Mungu akusaidie ewe Mke kuitumia nafasi yako. Km una swali ktk NDOA na huwezi kuliweka hapa njoo inbox au piga cm 0788 599211, 0757 856336 kwa ushauri zaidi na maombezi au fika Kanisani kwetu Mlima Wa Neema hapa Tegeta Kibo.
Akishakamilisha hayo pia awe anajua kubanduana na aisafishe ikuwe safiii,hapana toa harufu.
Haha [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kweli kuna dem mmoja ninampango wakumuacha kwasababu anaongeaongea sana, inshu ndogo atabwatuka karibia siku nzima
kwel kiongoz inafikia hatua unakosa aman ukiwa naeHaha [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakuna kitabu cha dini kinasema tuchepuke. labda kuongeza mke tu na sio kuchepuka nje ya wake zakoKuchepuka ni asili yetu, mtu hawezi kuacha asili yake kwa sababu ya kufanyiwa vijimambo kama hivyo. someni vitabu vya dini/historia mtagundua kitu.
Subiri kwanza mkuu. Leo Illovo kadadavua upande wa Ke, siku nyingine ataleta pointi za Me.Nachukia tu pale jukumu la kulinda ndoa limekuwa la upande mmoja na upande mwingine upo kwa ajili ya kutafuta upenyo wa kuvuruga tu kuweka katika hatari ndoa muda wote embu muwe mnabalance hamjui kuwa mtu mzima halazimishwi labda aamue mwenyewe
Duh pole sanakwel kiongoz inafikia hatua unakosa aman ukiwa nae
I like this nilidhani ni wanaume tu kumbe wote wanahusika hapa.Binadamu hawaridhiki, hata umfanyie mazuri mangapi...
na wanawake ndo hawaboreki? aliyeolewa na wewe ana hasara, kuwa na MTU anayekuona kama mtumbuizaji wake ni HASARA.Wanaume wanaboreka kirahisi sana ko mwanamke anatakiwa awe mtundu na mbunifu... .
Hakuna kitabu cha dini kinasema tuchepuke. labda kuongeza mke tu na sio kuchepuka nje ya wake zako
Hakuna kitabu cha dini kinasema tuchepuke. labda kuongeza mke tu na sio kuchepuka nje ya wake zako
Hakuna kitabu cha dini kinasema tuchepuke. labda kuongeza mke tu na sio kuchepuka nje ya wake zako