Jinsi ya kumlinda mumeo

Jinsi ya kumlinda mumeo

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,099
Habari za majukumu wapendwa?

Wanawake wengi hawajui nafasi ya mume, hivyo kufanya mambo kiholela na kujikuta NDOA inaanza kuleta matatzo.

Jinsi ya kumlinda mumeo:

1. MAPISHI
Unapokua upo jikoni unaandaa chakula, ni lazima ujue kuwa anaekula ni mumeo, hivyo ni vizuri ukatumia ujuzi wako wote kuhakikisha mumeo anakula chakula kizuri. Wanawake wanapika chakula kizuri siku za sikukuu ndo anajitahidi kutumia uelewa wake wote katika kupika ili tu aonekane na majirani.
Au siku ukisikia mumeo anakuja na mgeni rafki yake alafu yamkini ni mtu mwenye cheo fulani ndo unataka upike vizuri.
KWA IYO USITAKE KUPIKA VIZURI ETI KWA SABABU KUNA MGENI AMEKUTEMBELEA BALI IWE NDO TABIA YAKO KWA MUMEO

2. USAFI
Wanawake bado hawajajua kuwa usafi ni kivutio pia kikubwa kwa mwanamume. Na kama tunavyojua kuwa usafi maana yake ni "kila kitu mahali pake"
Sasa wanawake utakuta vijiko vya chakula vipo kwenye kitanda eti kwa sababu tu ana mtoto mdogo. Au nguo za mikojo ya mtoto unaweka chini ya kitanda mpaka zinaanza kutoa harufu. USAFI NI MUHIMU SANA, IWE KWAKO MKE, AU MAZINGIRA YA NYUMBA. NA HAPA SIMAANISHI KUWA MSAFI KWA MAANA YA KUJIPODOA.

3. MANENO MAZURI
Mke ni lazma ujue maneno ya kuongea na mumeo. Maneno mazuri yatamlinda mumeo pale atakapoyasikia kwa wengine. NA HATA KAMA MUMEO HATAONYESHA KUJALI, BADO WEWE MKE UNATAKIWA KUENDELEA KUKAA KWNYE HIYO NAFASI.

Mungu akusaidie ewe mke kuitumia nafasi yako. Kama una swali katika NDOA na huwezi kuliweka hapa njoo inbox au piga simu 0788 599211, 0757 856336 kwa ushauri zaidi na maombezi au fika Kanisani kwetu Mlima wa Neema hapa Tegeta Kibo.
 
Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
 
Kwa hiyo mwanamke akienda jikoni apike kama anapikia nguruwe,

Afanye usafi wa nyumba na vilivyomo hata mata moja kwa wiki ikiwezekana yeye asioge kabisa,

Na awe na majibu kama ya kwako kwa kuzingatia hoja zako?

Wewe umezungumza maneno yanayosimama juu ya hofu
Mleta uzi amejenga hoja ya kufanya vizuri kunakojenga uaminifu

Uko nnje ya mada au we msimbe nn?
 
Umesahau point ya 4... Na kitandani awe vizuri. Mambo muhimu hayoo
Hebu dadavua hapo kwenye kitandani awe vizuri...? Awe ameoga,amejipodoa,amevaa nguo nzuri,umbo la kubutia akiwa mtupu ama?
 
wewe utakuwa mzungu 😀 Wabongo wa hivi wapo kweli?
 
Kwa hiyo mwanamke akienda jikoni apike kama anapikia nguruwe,

Afanye usafi wa nyumba na vilivyomo hata mata moja kwa wiki ikiwezekana yeye asioge kabisa,

Na awe na majibu kama ya kwako kwa kuzingatia hoja zako?

Wewe umezungumza maneno yanayosimama juu ya hofu
Mleta uzi amejenga hoja ya kufanya vizuri kunakojenga uaminifu

Uko nnje ya mada au we msimbe nn?
Acha kukariri kwamba katika kila ndoa lazima mwanamke akupikie. Kuna maisha zaidi ya kupika panua akili.

Kuna watu wanaishi kwenye nyumba ambayo inawafanyakazi wa kusafisha na kupika, siongolei hawa wadada wa kazi naongelea wafanyakazi ambao wameenda shule na ni wataalamu wa kupika. Bado watu wana michepuko.
Note: pinga hoja kwa hoja na sio kuanza kuita watu majina ya ajabu eti msimbe?!
Wastaarabu hutofautiana hoja lakini kwa maneno ya busara.
Au wewe ni mgeni hapa jukwaani.
 
Mimi naweza kuwa mgeni, maana siyo mwanzilishi wa hili jukwaa, hongera yako kwa uenyeji, inabidi uwe mmoja wa wanaonielekeza cha kufanya;

lakini niliposema msimbe nilimaanisha hivyo, kama siye uwe na amani, nikirudi kwenye msingi wa hoja, mtoa mada hakuwachagua hao wachache unaojaribu kuwatolea mfano yeye alitoa hoja yake kwa ujumla ila hizi nyumba unazosema wewe hatuwezi kuziongelea maana hazifiki hata asilimia 1
 
Umesahau point ya 4... Na kitandani awe vizuri. Mambo muhimu hayoo
Kabisa.. Sex ni muhimu sana na ukikosea ukaoa au kuolea na mtu ambae hakuvutii kimapenzi itakua shida kua mwaminifu
Hata kwenye vitabu vitakatifu vinaongelea hilo.. Angalia wimbo ulio bora uone jinsi mfalme Suleiman alivokua anamsifia mkewe sexually
 
Kuchepuka ni asili yetu, mtu hawezi kuacha asili yake kwa sababu ya kufanyiwa vijimambo kama hivyo. someni vitabu vya dini/historia mtagundua kitu.
 
Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
mwambie kaka
 
Yan ww ndugu nngekuwa cjaelewa nngeolewa kwny ukoo wenu, wanaume mnawaangaisha wanawake madukani hko kkoo wanawake wananunua vtu vya kuunga papuchi il tu mume asichepuke lkn wapi nyie mwshowe tunaishia kuumwa kansa na mume kumkosa nyie wababa tuoneeni hurumaaa
 
Hebu dadavua hapo kwenye kitandani awe vizuri...? Awe ameoga,amejipodoa,amevaa nguo nzuri,umbo la kubutia akiwa mtupu ama?
Pamoja na hayo uliyoyataja..lakini kutimiziana haja ya tendo la ndoa nalo ni muhimu sana.
Inanogesha utamu wa mahaba.. atakaemua kwenda nje kaamua mwenyewe,ila katimiziwa haja za ndoa zote.
 
Unazungumzia wanaume wa sayari ipi, hawa watu hata ubinuke hawalindiki yaani kama ni wa kutoka ataenda tuuu, kuna muda huwa nawaza hata maombi ambayo ni silaha kuu yanadunda sijui huwa inakuwaje yaani
 
Back
Top Bottom