Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Ukichapika haswa ndiyo mawazo haya huwa yanakujia akilini.USIMUACHIE MKEO AMLEE MTOTO WA KIUME;
~Jukumu ni lako kumfanya awe ngangari
[emoji3468] 25 mfundishe mwanao.
1. Mwambie marufuku kutoa machozi ukianguka na kuumia
2. Mwambie wanaume tunaoga maji ya baridi na sio vinginevyo
3. Mwambie wanaume wanaoga usiku tu baada ya kazi
4. Mwambie wanaume wanakula vitu vigumu na sio laini
5. Mwambie ugali unashuka bila mboga
6. Mwambie wanaume tunamenya na kutafuta miwa kamili
7. Mwambie wanaume hatukai jikoni na kina mama kupika
8. Mwambie wanaume hatukai na dada zetu kuota moto
9. Mwambie wanaume hatuvai kanga za tukienda kuoga
10. Mwambie wanaume hatulalii tumbo tukiwa ugenini
11. Mwambie akatae majina ya kike hata akiitwa kwa masihara
12. Mwanao akija nyumbani analia mchape mpaka anyamaze
13. Mwanao asivae mlegezo, asikune nazi wala kuchagua mboga
14. Mpe hela mwanao na usimpangie matumizi
15. Mpasue akianza kuandika text kifupi na "xaxa, jomon, oy, aje"
16. Mwambie akongee kwa koromeo sio pua
17. Mzingue akiandika "my birthday.."
18. Kama haangalii ngumi, mieleka zaidi ya tamthiliya mfanye alie
19. Mwambie mwanaume hasusi wala kudhira
20. Mwambie mwanaume hafatilii maisha ya mwanaume mwingine
21. Mwambie mwanaume hacheki mpaka jino la mwisho
22. Mwambie mwanaume hatoi ulimi nje
23. Mwambie mwanaume hakati viuno feni yeye sio demu
24. Hata kama geti kali, mwambie mwanaume anashinda kazini
25. Mwambie mwanao asitafute kupendwa na kila mtu.
Mkuze mwanao kwa misingi hiyo tuongeze wanaume kwa maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Ukipata nafasi ya kumwambia mwanao utamwambia nini?
Nilimwambia Tukisafiri hakuna kula mpaka tufike mwisho wa safariUSIMUACHIE MKEO AMLEE MTOTO WA KIUME;

Unaambiwa mfanye alie18. Kama haangalii ngumi, mieleka zaidi ya tamthiliya mfanye alie
ππππππππππππππππ
Sasa kama mimi mzazi ndio napenda JUA KALI JE
Daaah yaaani nimecheka sana ..πππππππUnaambiwa mfanye alie
Halafu kumbuka hapo hapo ulishamwambia mwanaume halii ata akiumia
Mtoto anatiwa moto mpaka kichwa kinakuwa hacked..Daaah yaaani nimecheka sana ..πππππππ
Hapo ndio ile kauli wanaume tumeumbiwa mateso ina apply
Yaaani tunawekeana mambo magumu magumuππππ
Tuwaache tuu... Ataamua mwenyewe πππππ Akivaa kanga sawa.,Mtoto anatiwa moto mpaka kichwa kinakuwa hacked..
Kabisa kabisa MkuuTuwaache tuu... Ataamua mwenyewe πππππ Akivaa kanga sawa.,
Akiangalia mieleka its oky .
Maisha sio magumu kiasi hiko
Unao wangapi?USIMUACHIE MKEO AMLEE MTOTO WA KIUME;
~Jukumu ni lako kumfanya awe ngangari
[emoji3468] 25 mfundishe mwanao.
1. Mwambie marufuku kutoa machozi ukianguka na kuumia
2. Mwambie wanaume tunaoga maji ya baridi na sio vinginevyo
3. Mwambie wanaume wanaoga usiku tu baada ya kazi
4. Mwambie wanaume wanakula vitu vigumu na sio laini
5. Mwambie ugali unashuka bila mboga
6. Mwambie wanaume tunamenya na kutafuta miwa kamili
7. Mwambie wanaume hatukai jikoni na kina mama kupika
8. Mwambie wanaume hatukai na dada zetu kuota moto
9. Mwambie wanaume hatuvai kanga za tukienda kuoga
10. Mwambie wanaume hatulalii tumbo tukiwa ugenini
11. Mwambie akatae majina ya kike hata akiitwa kwa masihara
12. Mwanao akija nyumbani analia mchape mpaka anyamaze
13. Mwanao asivae mlegezo, asikune nazi wala kuchagua mboga
14. Mpe hela mwanao na usimpangie matumizi
15. Mpasue akianza kuandika text kifupi na "xaxa, jomon, oy, aje"
16. Mwambie akongee kwa koromeo sio pua
17. Mzingue akiandika "my birthday.."
18. Kama haangalii ngumi, mieleka zaidi ya tamthiliya mfanye alie
19. Mwambie mwanaume hasusi wala kudhira
20. Mwambie mwanaume hafatilii maisha ya mwanaume mwingine
21. Mwambie mwanaume hacheki mpaka jino la mwisho
22. Mwambie mwanaume hatoi ulimi nje
23. Mwambie mwanaume hakati viuno feni yeye sio demu
24. Hata kama geti kali, mwambie mwanaume anashinda kazini
25. Mwambie mwanao asitafute kupendwa na kila mtu.
Mkuze mwanao kwa misingi hiyo tuongeze wanaume kwa maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Ukipata nafasi ya kumwambia mwanao utamwambia nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie mliolelewa hivyo mmefika wapi??[emoji849]