Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Kwahiyo wewe ungeendelea kumdandia demu wa watu hata kama ana ukimwi kweli?!UKIMWI siku hizi ni kama mafua tu! Hauui.
Pesa huku anaruka segere BuzaππππππUkute jamaa anamapesa yakee....ataanzaje kusema anaukimwi
Kwahiyo wewe ungeendelea kumdandia demu wa watu hata kama ana ukimwi kweli?!
Pesa huku anaruka segere Buzaππππππ
Nenda YouTube channel yangu kasikilizeπΆπΆπΆMoney Penny nimechoka kinyama nmeshindwa kusoma hebu nisomee huu Uzi unitumie audio
Sauwa*** yeah!
Uuuuwiiiiiii πππ basi hamna haja kuja Buza tenaπππAhahaa....ndo matajir wa buza tulivyo
Kwahiyo Hilo umeona ndio jiiiiiibu mwenyeweHamkufunzwa jinsi ya kumkataa mwanaume bila kumkwaza?Ili siku ukionana nae popote asikuwekee kikwazo kupata fursa ingine yawezekana ajira au biashara nk.
Wanawake wanawahitaji wanaume
"Let's not turn women into snowflakes" aliwahi kusema Condoleezza Rice kwenye #MeToo movement
Nadhani ungemjibu kwa kujiamini na aridhike na jibu lako.
"Asante rafiki nina mtu wangu tayari."
Kwahiyo Hilo umeona ndio jiiiiiibu mwenyewe
Na aliekwambia ukijibu hivyo mwanaume anaondoka nani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kama wewe NI mwanaume ila kama ni mwanaume nadhani umeshanielewa
Hamkufunzwa jinsi ya kumkataa mwanaume bila kumkwaza?Ili siku ukionana nae popote asikuwekee kikwazo kupata fursa ingine yawezekana ajira au biashara nk.
Wanawake wanawahitaji wanaume
"Let's not turn women into snowflakes" aliwahi kusema Condoleezza Rice kwenye #MeToo movement
Nadhani ungemjibu kwa kujiamini na aridhike na jibu lako.
"Asante rafiki nina mtu wangu tayari."
Sio kesi usipokuja Buza na sisi hatuji vingunguti.... Ngoma draw!!!Uuuuwiiiiiii πππ basi hamna haja kuja Buza tenaπππ
Vipi kama kila ukimuomba hela anakupa..? Mwisho wake itakuaje maana naona itafika mahali utaliwa tu.Njia rahisi ya kumkataa mwanaume ni kumuomba hela tu
Akipiga simu mwombe hela
Akituma sms mwombe hela
Yaani wewe muombe hela tu atakimbia mwenyewe
Ahahaa....njoo tuu bibie tule burudan,kikubwa pesa.Uuuuwiiiiiii πππ basi hamna haja kuja Buza tenaπππ
Aisee ππππMi ni mwanaume. Ukijibu kwa kujiamini lazima mwanaume atakuheshimu.
Labda kama sijaelewa mada