Jinsi ya Kumchapa Mwanaume

Jinsi ya Kumchapa Mwanaume

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
531154_2911438424881_2122673319_n.jpg
 
Huyo bwana anamuonea huruma tuu mwanamme hasa amue kukupiga atakutwanga mpaka uwiii wiiii....anamfurahisha tuu..
 
Huyo bwana anamuonea huruma tuu mwanamme hasa amue kukupiga atakutwanga mpaka uwiii wiiii....anamfurahisha tuu..

Mmh,kwani hakuna wanaume wanaopigwa na wake zao jamani?
 
Nadhani ni tamthilia..huwezi kumpiga mwanaume bana..unless awe wa kiume!
 
Haya mambo huwa yanatokea mara nyingi majumbani LAKINI kutokana na mfumo dume wanaume mara nyingi
huona haya kujitokeza hadharani na kushitaki manyanyaso wanayoyapata toka kwa wake zao...wanaogopa kuonekana "dhaifu" mbele za watu...wanakufa kisabuni NATOA WITO....wanume wote mnaopokea kichapo toka kwa wake zenu au manyayaso mengine kama vile kunyimwa chakula cha usiku kwa muda mrefu bila sababu ya kueleweka jitokezeni...anzisheni vuguvugu la haki za wanaume
 
:laugh::laugh::laugh::laugh:
 
hii haikubaliki kwa mwanaume,labda mtoto wa kiume...:A S 103:
 
February, Thursday 16th 2012 - FIDA Kenya would like to condemn the rising cases of reported domestic violence. We are particularly concerned by the incident in Nyeri County where a husband was brutally attacked by his wife with a panga.While we seek to protect women's rights, we strongly condemn any s ort of violence – whether meted by a man or a woman.FIDA Kenya has been lobbying for the enactment of a domestic violence law in Kenya since 1997 and there has been strong opposition to the same.We hope that the latest events in the country will convince parliamentarians on the need for the Family Protection Bill and that the passage of this law will be fast tracked by the Commission for the Implementation of the Constitution and the National Assembly.
 
Mpaka Wanyama ni kazi moja, tu, beat your husband

425526_318683198174657_100000989372698_937120_1117236911_n.jpg
 
[QUOTE=Mbuzi Mzee;4253069[/QUOT

inasikitisha sana, hapo inaonekana kupewa unyumba hadi vyombo vioshwe, udeki nyumba kisha ubembeleze watoto walale.
 
Back
Top Bottom