SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Habari zenu wataalamu katika teknolojia. Nilikuwa natumia browser ya opera kwa muda mrefu na nimeizoea sana. Browser hii iwapo maandishi ni madogo na wataka kuyakuza, unaslide kislider fulani hivi kilichopo upande wa chini kabisa wa opera. Bahati mbaya opera imecrash, imebidi nitumie google chrome. Nitafanyaje ili kukuza font za maandishi kwenye google chrome?
Naomba msaada wataalamu wangu.
Asante, hiyo ndo shida yangu kwa leo.
Naomba msaada wataalamu wangu.
Asante, hiyo ndo shida yangu kwa leo.