Jinsi ya kukata kiuno..

nashukuru sana jamani
nina assignment mahali mwezi wa tisa....
 
Sasa unatuambia saa hizi tutapractice vipi na morning glory session ishapita? Au nikate mauno wakati napiga deki na kulisha kuku?
wanasema kila kitu utapata kwa mchina,kope kama huna nzuri mchina unapata,kama huna bikra,mchina anakupatia...kucha..nywele...hips mata..k ila nyonga hakuna ni juhudi zako mwenyewe na mwanammke nyoga eeeh so mimi hili somo nimelipenda ...nitaachwa hadi lini kisa ugogo.bora nitoke
shukrani Kimbweka
 
Last edited by a moderator:
ngoja nifunge mlango hapa ofsini
leo ndo kazi tu
 
nmeipenda hii shule!kupewa shule asubhi sio lazima ufanye majaribio wakati huohuo!!
 
yaan hapa nafanya kazi raha mstarehe.. we kimbweta ww una mambo... haya wajuvi wa mambo karibuni hii ndio j3 ya bluu bana
 
JF patamu bana!! Unaweza cheka mwenyewe na simu watu wakakuona chizi..


Sent from my EyePhone

teh teh teh...kama mm,nkianzaga kucheka na cm w2 wengine around nao wanaangua vicheko bila kujua nacheka nn,jf c mchezo!
 
Kwa hivi VITAMBI ninavyovishuhudia kwa wadada na wakaka, naona hili zoezi litakuwa gumu haswa pale kwenye kubana tumbo!
 
Kwa hivi VITAMBI ninavyovishuhudia kwa wadada na wakaka, naona hili zoezi litakuwa gumu haswa pale kwenye kubana tumbo!

Je wakifunga kanga au kitenge ,hakitakatika mtani?
NAULIZA TU!!!
 
Je wakifunga kanga au kitenge ,hakitakatika mtani?
NAULIZA TU!!!
mdogo wangu,
nakumbuka mama k alituambia haya mambo tunayazungumzia chumbani tu......
akitokea hapa unalo la kujibu, shauri yako:nono:.
 
Je wakifunga kanga au kitenge ,hakitakatika mtani?
NAULIZA TU!!!

Unaukumbuka huu wimbo, najua wakati unauimba wala hukuwa wafunga kitenge...mikono ilikuwa yawekwa kiunoni kwa madoido binti wa Mbamba Bay wazungusha yako nyonga. Halafu si nimekosea nimekutumia kule kwingine....

Bilinge baiyoyo, bilinge waaah! X 2
Kiuno changu chembamba,cha kuvalia mkanda.
bilinge waaah!
 
Lol hii babu kubwa lakini ndo elimu ya kijamii hivo ili kusolve matatzo ya ndoa-Vionjoooo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Umesahau kutoa angalizo kwa wenye mishono haiwahusu...usije tuulia wake zetu....akakaza tumbo akiachia mshono fumuuu utumbo kuleee.... ebu waambie haraka sasa ivi.
 
Ukitaka kujua dalili za mijitu yenye laana fungua JF
 

Na zoezo hili lina faida gani kiafya?
 
Heheheheeee yaaani umenifanya nicheke maana nimegundua staff mmoja hapa job yuko jf maana ile nimeingia tu ofisini kwake nilimkuta mkaka anakata kiuno huku anasoma laptop yake. Niliporudi ofcn kwangu nimecheka zaidi looh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…