Jinsi ya kukabiliana na matokeo ya mitihani yako

Chachasteven

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
1,941
2,042
Mambo vipi??Hiki ni kipindi ambacho matokeo mengi ya mitihani muhimu yanatoka.Hapa upokeaji unatofautiana kutokana na haiba ya mtu.Mifano michache kati ya mingi ni ule wa baadhi ya wanafunzi kufanya "suicide" ambayo iwe mbinguni ama duniani ni kosa.

Kwa kulitambua hilo nimeamua kuandika orodha ya vitu nivijuavyo ambavyo vitakusaidia jinsi ya kukabiliana na matokeo ya mtihani wako;uwe in positive way ama negative way;

1: Usiwazie sana matokeo;Nadhani hii ni bora sana kwani inakufanya usiwe na wasiwasi.
2: Omba ushauri kwa watu walio karibu na wewe.
3: Kumbuka wewe sio wa kwanza au wa mwisho kufeli.Don't panic take it easy!
4: Lastly from me,usikate tamaa.Ni muda wako kujaribu "plan b."

Nadhani points tajwa zaweza kukusaidia.Mwenye cha kuongeza unakaribishwa!
Nawasilisha.
 
Ile ya 1. Bro nadhan ni ngumu sana kwa walio wengi
Ni ngumu ila nadhani best way ni through vile close people wanavo-react kwa subject mwenyewe.It's better wampe new ideas kuliko ku-stick around kuongelea the irreversable!.
 
Back
Top Bottom