Jinsi ya kujua simu original ama copy

@Chief-Mkwawa nina note 4 ina tabia ya kuzima zima na ukitaka kuiwasha lazima utoe betri then urudishe ndo inawaka

nini solution mkuu??
Zile pin za battery ama battery lenyewe halijalegea? Linakaza vizuri?

Jaribu kuekea kikaratasi kwa nyuma kuikaza battery vizuri isilegelege then uone kama tatizo litaendelea
 
Mkuu hii unatumia njia gani kujua,na pia no jinsi gani ya kujua kama hii simu refubrished au mpya.
 
Hivi download mode ndo ipi mkuu au unaenda sehemu gani kuipata?
Unazima sim,kisha una hold volume down + home key+ power key baada ya sec kadhaa sim itawaka kweny download mode
 
Chief-Mkwawa mkuu simu yangu imekufa kioo nataka nipate picha zilizomo kwene cm tatizo nikichomeka kwane laptop inanambia folder empty naomba msaada
 
Chief-Mkwawa mkuu simu yangu imekufa kioo nataka nipate picha zilizomo kwene cm tatizo nikichomeka kwane laptop inanambia folder empty naomba msaada
Inasema empty sababu hujatoa lock.

Imekufa kioo kwa maana haionyeshi kabisa ama imekufa tu touch?
 
Na simu ilikuwa na lock ya parten
Ni simu gani? Kama inakubali MHL unaweza iconect na Tv ukatoa hio pattern.

Alternative zipo software za kutolea ila nazo pia inategemea na model ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…