Nimekuwa nikilifwatilia hilo kwa muda mrefu sana pia.Ni liweza watumia KWANZA email zaidi ya tano bila majibu yoyote vilevile niliwatumia Adtech email za kutosha bila majibu vilevile mpaka sasa nipo njia panda tyu Mkuu.Nimekuwa nikitembelea Blogs na website mbalimbali za hapa Tanzania ambazo nimeona baadhi kuna matangazo ya KWANZA ADS NETWORK na ADSERVER ADTECH.
Mimi pia nina blog yangu inaitwa PostiBoard. Naombeni msaada kwa anayefahamu jinsi ya kujiunga na kuweza kuweka matangazo ya aina hiyo kwenye blog yangu.