Jinsi ya kujiunga JKT-Wanafunzi waliomaliza form six

The dream

JF-Expert Member
May 10, 2015
999
994
Habari wakuu
Naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa wanafunzi waliomaliza/wanaomaliza/watakaomaliza form six mwaka huu 2015
 
Ninavyofaham ni kwamba majina huwa yanapelekwa JKT makao makuu kutoka shulen na waondiyo wanapanga kila mtu na kambi yake.na ukienda unakuta jinalako tayari ripo ulipopangiwa.....

labda mwenye info zaidi.
 
Back
Top Bottom