Ndio hivyo yahn mambo kukumbushana hakuna jinsi maana barabarani huku hatariiiiiiiNa wewe pia. Asantee kwa ukumbusho
HA ha cjaWaabagua mamy mm navyoona weusi wanaalibu sana kwenye lipstic nyeusi afadhar hizo nyingi ebut inadepend na weusi wenyewe mamyUmetubagua sie weusi hapo kwenye lipstick kwanini usitushauri na sie rangi ya kupaka badala ya kutuambia tupambane na hali zetu?? By the way mada nzuri kwani ni kweli watu wanajiremba mpk kero
Haahaha hahaaHA ha cjaWaabagua mamy mm navyoona weusi wanaalibu sana kwenye lipstic nyeusi afadhar hizo nyingi ebut inadepend na weusi wenyewe mamy
Ha ha ha hao wanaume waongo kabisa wanawake kibao hapa wanalalamika waume zao na wanawakataza wasijipambe then kesho wanawafumania na mabinti wamejiremba wamependezaa ........hukanishawishi kwakweli.....mwanamke urembo ila usipitilizee....ila ukiniambia wanaume waliooa hawataki wake zao wajirembe wanahofia watatongozwa hapo sawa na si kama hawapendi kabisaaa..Wanaume wanatafuta wanawake wenye natural Beauty nyie mnakazana kujipaka uharo wa wadhungu
Ha ha ha hao wanaume waongo kabisa wanawake kibao hapa wanalalamika waume zao na wanawakataza wasijipambe then kesho wanawafumania na mabinti wamejiremba wamependezaa ........hukanishawishi kwakweli.....mwanamke urembo ila usipitilizee....ila ukiniambia wanaume waliooa hawataki wake zao wajirembe wanahofia watatongozwa hapo sawa na si kama hawapendi kabisaaa
Waandike kabisaWanawake someni vizuri hayo