che-guavara
Member
- Jul 6, 2011
- 58
- 22
Unaijua disposable income ya mbongo? Hawa wanaofanya savings na ku invest ni wazi wana vyanzo nje ya mshahara
poa mkuu ukipata nafasi ni pmunaweza tu mkuu.nimeshindwa ku pm kwa sababu posts zangu ziko chini ya 5.thanks
unaijua disposable income ya mbongo? Hawa wanaofanya savings na ku invest ni wazi wana vyanzo nje ya mshahara

hapa nilipo bold ndio utakuta kunazaliwa 90% ya rushwa, wizi, uchawi, waganga wa kienyeji na u-chuma ulete..10% ilobaki ni ya watu wanaofanya kazi za ziada nje ya kipato chao cha halali kama mwalimu kufundisha tuition, doctor kufanya hospital binafsi, mke kutembea nje ya ndoa, viongozi kuenda semina na washa kila siku, kina maryiooo na mengine utitiri kibao...kwa leo inatosha kuonyesha vyanzo mbadala vya mapato ya ziada ya wa-t

Che-guava yuko sahihi wakuu. Wengi wetu hatuwekezi kwenye mambo ya maana. Utakuta mtu gari anaiita asset kiukweli gari sio assets. Assets ni lazima viwe vitu vinavyokuingizia hela na sio vinavyokufanya utumie hela. Hata nyumba kama wewe unaishi ndani yake basi hiyo sio asset tena, inageuka kuwa utility ila kama umeipangisha basi kimantiki inakuwa asset maana hapo itakuwa inakuingizia mshiko.

Na ndio maana wajanja wengi huwa wanafanya biashara ya real estate kwani ni very nice, mshiko wake huwa ni wa kutosha unapofanya biashara hii.

Wakuu kuna kitabu kinaitwa Rich Dad, Poor Dad, take time kukisoma kina mawazo mazuri sana ya namna ya kuendesha maisha kwa kutumia mitaji yetu midogo tuliyonayo.

Napitapita tu, ntarudi tena.
use cosmi c laws
hakunaaliezaliwa masikini
watu waote maskini ni wao wametaka kuwa masikini
mungu kakuleta duniani ili kila mtu aaishi maisha mazuri
hakuna alietoka na utajiri tumbuni kwa mama yake!!!!!!!!!!!!1