Haswaaaaa1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu
2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao
3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta wamekaa kwenye mitaa au maeneo yao ni ustaarabu tu
4. Kama huna shughuli kaa kwako usipende kutoka kutafuta maneno kwa majirani
5. Acha mazoea na wanawake za watu hapo mtaani au waume za watu
6. Kwenye maafa penda kuungana na watu wa mtaani kwako
7. Kama una hasira za haraka sana usipende kujichanganya na watu bila sababu za msingi kaa kwako tu uepuke mengi
8. Acha kabisa kudharau watu according na uchumi wao elimu yao au ukilema wao wa mwili
9. Jifunze sana kutoa kwa wahitaji kuliko kupokea ni baraka sana
10. Acha tabia ya kusema vibaya watu au kuwasengenya huo ni uchawi.
Nakazia1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu
Ustaarabu wa kiwango cha lami, wengi hili wanafeli.3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta wamekaa kwenye mitaa au maeneo yao ni ustaarabu tu
Ukipata matatizo ndio utajua umuhimu wa kushiriki kwa wenzio.6. Kwenye maafa penda kuungana na watu wa mtaani kwako
Hii ni tabia mbaya sana inasababisha uchonganishi kwenye jamii.10. Acha tabia ya kusema vibaya watu au kuwasengenya huo ni uchawi
Nimekupata1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu
2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao
3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta wamekaa kwenye mitaa au maeneo yao ni ustaarabu tu
4. Kama huna shughuli kaa kwako usipende kutoka kutafuta maneno kwa majirani
5. Acha mazoea na wanawake za watu hapo mtaani au waume za watu
6. Kwenye maafa penda kuungana na watu wa mtaani kwako
7. Kama una hasira za haraka sana usipende kujichanganya na watu bila sababu za msingi kaa kwako tu uepuke mengi
8. Acha kabisa kudharau watu according na uchumi wao elimu yao au ukilema wao wa mwili
9. Jifunze sana kutoa kwa wahitaji kuliko kupokea ni baraka sana
10. Acha tabia ya kusema vibaya watu au kuwasengenya huo ni uchawi.
Hata Mie vijana wa hovyo hapa Kitaa nikiwapotezea huwa wanaumia sana, Oi Mwanetu mbona unatutenga sana? Au tumekukosea? Sometimes nikipotea machoni kwao hata kwa siku mbili wakiniona lazima Wanishangilie na kunifurahia. I don't know why πππAlhamdulillah hapo ni 100%aisee majirani zangu wanaenjoy sana Yan nisipotoka ndani lazima nitaulizwa nilikuwa wapi mbona sijaonekana kutwa nzima
Mke wa mtuUna mazoea na Waume za watu au?