Jinsi ya kuingiza subtittle kwenye videos

Wakuu nielewesheni jinsi ya ku subtittle/ kuingiza maneno katika clip ya video.

Download file la subtitle lenye extension ya srt, idx, sub, ssa, aqt, jss, smi, psb,cdg..
ila n vizuri ukadownload lenye .SRT.... then una add kama hivi.

114.jpg

Au simply unadrag kama unavyodrag other media files kwenye vlc.

site zipo nyingi tu zakudownload subtitle me napenda hii site http:// www.opensubtitles.org

snipa
 
Last edited by a moderator:
Download file la subtitle lenye extension ya srt, idx, sub, ssa, aqt, jss, smi, psb,cdg..
ila n vizuri ukadownload lenye .SRT.... then una add kama hivi.

114.jpg

Au simply unadrag kama unavyodrag other media files kwenye vlc.

site zipo nyingi tu zakudownload subtitle me napenda hii site http:// Subtitles - download movie and TV Series subtitles from the biggest open subtitles database

snipa

Mkuu ahsante ila nilikuwa na taka kama kuna softwares ili nitafsiri mimi mwenyewe wala sio za kudwnloadi yaani kama kuna editor yeyote.
 
Android sijajua unataka software gani, mana kila mtu anatimia yake, Mi natumia Archos Video player pamoja na Diceplayer zinapiga kazi flesh tu.
ila hata VLC beta ni nzuri sana tu.
unaeza tumia MXPlayer maana naona wengi wanaiover hype lakini haiplay smoothly kama vlc.
 
Last edited by a moderator:
video editor yoyote inauwezo wa kutengeneza subtitle.

just tafuta video editor kama magisto, kinemaster, powerdirector, androvid na wevideo
 
snipa na CHIEF MKWAWA naombanisaidieni kwenye hili.kuna site nadownload movie ila ikiwa kwenye vipande viwili au zaidi.nikiwa nachek kipande cha pili cha movie,subtitle inajirudia ya kipande cha mwanzo katikati.nasolve vipi hapo wakuu.shukrani
 
Unganisha hizo video kwanza

Au tafuta site isio na vipande viwili vya movie. Zipo kibao zenye movie nzima
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom