Jinsi ya kuharibu mahisha yako

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,912
Najua kuna watu wanatamani kujua hii kitu

1. Chelewa kulala na chelewa kuamka
Hapa unaweza ukawa unakesha unaoeruzi simu au unaangalia tv hadi saa 7 au saa nane halafu lala utaamka saa tano au saa tano na nusu!

2. Ukitembea usisalimie/ kuongelesha mtu

Fanya vitu vyako kua busy na simu yako
Tembea kichwa umekiinamisha chini
Usimuangalie mtu usoni wala kuonesha unamfahamu mtu

3. Chelewa kwenye kila jambo
Kazini, kikao au sherehe hakikisha au nyumbani hakikisha unachelewa saa au saa moja na nusu kabla ya tukio kuanza au muda uliopangwa hii itakufanya usipate muda wa kuongea na watu

4. Jifunze kulalamika
Kila kinachotokea si makosa yako hata kama unaona ww ndio mwenye shida kamwe usikubali .Onyesha muda wote watu au vitu vingine ndio vimesababisha naww ni mhanga wa kila kilichotokea.

5. Jiongelee wwe tu
Hakikisha unajiongelea kila ukikutana na watu waoneshe stori zao hazisikitishi kama yako wala wao hawana maswahibu kama yako hata kama kuna wenye majanga makubwa. Jipe umuhimu jiweke ww ndio kitovu cha maongezi kila mara.Hii itafanya watu waondoke na wasijiweke mbali na wewe

6. Endekeza pombe na uzinzi
Hivyo vitakufanya upate magonjwa tofauti na kila mara kuonana na wataalamu wa afya, mara madaktari, mara wafamasia, mara wataalamu wa maabara. Hela nyingi unaigamishia huko. Pia unywaji WA pombe na kuendekeza ngono kunapoteza fedha na muda muhimu wa kufanya mambo ya maana

7. Fukuzana na Fashion mpya kila siku usikubali upitwe na kitu.
Kuna muda utakua huna pesa na fashion mpya itakua imetoka usijali we kopa kama hakuna wa kukukopesha uza chenyewe unamiliki iwe kiwanja au nyumba kama huna vya kuuza Iba ilimradi usipitwe na fashion mpya. Hii itakufanya kuwa na vitu vingi kwa nyumba visivyo na kazi na itakufanya uwe broke kila mara ila usijali

Itaendelea…
 
Najua kuna watu wanatamani kujua hii kitu

1.Chelewa kulala na chelewa kuamka

Hapa unaweza ukawa unakesha unaoeruzi simu au unaangalia tv hadi saa 7 au saa nane halafu lala utaamka saa tano au saa tano na nusu!

2.Ukitembea usisalimie/ kuongelesha mtu.
Fanya vitu vyako kua busy na simu yako
Tembea kichwa umekiinamisha chini
usimuangalie mtu usoni wala kuonesha unamfahamu mtu

3.Chelewa kwenye kila jambo
Kazini , kikao au sherehe hakikisha au nyumbani hakikisha unachelewa saa au saa moja na nusu kabla ya tukio kuanza au muda uliopangwa hii itakufanya usipate muda wa kuongea na watu

4.Jifunze kulalamika
Kila kinachotokea si makosa yako hata kama unaona ww ndio mwenye shida kamwe usikubali .Onyesha muda wote watu au vitu vingine ndio vimesababisha naww ni mhanga wa kila kilichotokea.

5.Jiongelee wwe tu
Hakikisha unajiongelea kila ukikutana na watu waoneshe stori zao hazisikitishi kama yako wala wao hawana maswahibu kama yako hata kama kuna wenye majanga makubwa. Jipe umuhimu jiweke ww ndio kitovu cha maongezi kila mara.Hii itafanya watu waondoke na wasijiweke mbali naww

Itaendelea…..
Ongezea ....
6. Endekeza pombe na uzinzi... Hivyo vitakufanya upate magonjwa tofauti na kila mara kuonana na wataalamu wa afya, mara madaktari, mara wafamasia, mara wataalamu wa maabara. Hela nyingi unaigamishia huko. Pia unywaji WA pombe na kuendekeza ngono kunapoteza fedha na muda muhimu wa kufanya mambo ya maana
 
7. usipitwe na fashion hakikisha kila nguo mpya inayoingia unaiba au unakopa hela uipate au fashion ya sim mpya hakikisha unakua nayo
 
Ongezea ....
6. Endekeza pombe na uzinzi... Hivyo vitakufanya upate magonjwa tofauti na kila mara kuonana na wataalamu wa afya, mara madaktari, mara wafamasia, mara wataalamu wa maabara. Hela nyingi unaigamishia huko. Pia unywaji WA pombe na kuendekeza ngono kunapoteza fedha na muda muhimu wa kufanya mambo ya maana

Hii nimeichukuakwa heshima yako
 
. Endekeza pombe na uzinzi...
emoji419.png
Hivyo vitakufanya upate magonjwa tofauti na kila mara kuonana na wataalamu wa afya, mara madaktari, mara wafamasia, mara wataalamu wa maabara. Hela nyingi unaigamishia huko. Pia unywaji WA pombe na kuendekeza ngono kunapoteza fedha na muda muhimu wa kufanya mambo ya maana
Hii ndio imeharibia wazazi wetu wengi ........wamebaki kulaani watoto hawawasaidii wakati pesa zao walikula bata
 
8. Ukiwa unasafiri kwenda mkoa mwingine kuwa na ushirikiano mzuri na wauzaji wa vitu kwenye mabasi. Akipita anateuza mikate, nunua, akija wa biskuti nunua, earpod na earphone usiviache. Ukifika Morogoro, chipsi mayai na mishkaki nunua ushushie na soda. Wale wanaouza mikoba na mikanda usiviache hata kama una vitu vya aina hiyo hiyo nyumbani. Hapo utakuwa umekaribia kufikia lengo lengo lako la kujaza mavitu nyumbani na kucomplicate maisha yako kumanage vitu visivyo na maana. Kila tajiri atakupa hongera kwa kuongezeka uzito na utapishwa na kila mtu kiti kwenye shughuli za kijamii sababu ya unene uliopindukia. Hongera sana
 
Back
Top Bottom