Thiosulphate
New Member
- Oct 5, 2016
- 3
- 0
Wakuu Mnapotoa Uzi Ni Bora Kua Na Uhakika Nao Kwanza Kabla Ya Uweka Kwa Hadhira.. Huo Utaratibu Wote Mnao Uzungumzia Ni Wa Zamani.Sasa Hv Kuna Maboresho,transfer Zote Ztafanyika Online Kupitia Account Za Wadahiliwa Ambapo Utapaswa Kulipia 30000/= Then Tcu Wenyewe Ndo Watai Direct Transfer Yako Katka Chuo Unachotaka Kuhamia.Siyo Kama Zaman Ambapo Ilimbidi Mtu Atafute Nafasi Ktk Chuo Anachotaka Kuhamia Then Apewe Barua Ya Uthibitisho Kisha Kuipeleka Katka Chuo Alichopangiwa Then Kwenda Tcu Kwa Makamilisho Zaidi.Kwa Wale Wa 1st Round Kipengele Cha Transfer Tayar Kmeshawekwa Kwenye Account Zao Lakin Bado Hakijaanza Kufanza Kaz(blocked) Hadi Pale Udahili Utakapoisha Ndpo Ktaanza Kufanya Kazi Kwa Watu Wa Round Zote...So Ni Bora Kusubiri Muda Ukifika Tcu Itatujuza..Kwa Maelezo Zaidi Nenda Kwenye Profil Yako Then Angalia Contacts Zilizopo Pale Uchukue Namba Ya Mtandao Wa Airtel Coz Nyngne Zote Hazipakan.Then Umuulize Kwa Ustaarabu Huyo Mama Atakae Pokea.kama Atapokea Atakwambia Hvo Pia Na Maelekezo Mengne...