Jinsi ya kufuta kila kitu kwenye computer in case unaiuza siri zisivujie nje

Hii post nimeiona jana kama sio juzi kule fikra huru forum kama sikosei. So ingependeza sana kama ungetoa na credits maana hata huku kuna baadhi ya topics huibwa na kupelekwa forums zingine au blogs na huwa tunalalamika sana kuwa hatupewi credits na hao watu.
So we have to do what we preach
Soma habari yote kabla hujaanza kurusha madongo kwa mleta mada, vinginevyo ungekuwa makini katika kufanya uchunguzi wa kutosha, hata walao kusoma kwa uangalifu mwanzo au mwishoni ungeona habari hii imetoholewa toka wapi, vinginevyo umejiingiza kichwakichwa tu bila kuwa ustahimilivu wa habari kuisoma vizuri na kujiridhisha kama hukumu unayotoa ni sahihi au la.

Kwa kukusaidia tu jaribu kurudia habari hiyo na mwishoni utabaini wapi imetoholewa.
 
heeee hii mbinu ina walakini, sidhani kama waweza uza kompyuta bila hard disk
Ukiharibu hard disc unanunua nyingine na kuiweka, hard disc ni kitu kidogo sana na bei yake ambayo rahisi kuimudu. Hiyo ni njia nzuri zaidi kuharibu disc kama ulikuwa na ambo ya siri kuliko kujaribu kufuta.

Mwigamba anesababusha mtafaruku mkubwa Chadema sababu ya siri ambayo hakuihifadhi vizuri.
 
Umenikumbusha. Nimeibiwa flash yapata mwaka sasa lakini nikikumbuka tu najisikia kubanwa na tumbo la 'kuendesha'.

Hahahahaa, huto tu picha twa ngono ulitopiga na mke wa mtu wala hatuna ishue! Nlikuwa nachat na hacker mmoja wa huko us (anonimous off course), nikamuuliza ni kazi gani ambayo ilikupatia pesa kirahisi zaidi ambayo unakumbuka? Akasema nilipata $200,000/=, Kivipi?...Mkopo kwa kutumia ID ya mtu mwingine!! alikutana na documents kwenye flash kama hivyo, full data akaapply mkopo faster!! Huku bongo watu wanaacha data zao sensitive ovyoovyo tu kwa sababu hakuna wezi wa namna hiyo!
 
Hii post nimeiona jana kama sio juzi kule fikra huru forum kama sikosei. So ingependeza sana kama ungetoa na credits maana hata huku kuna baadhi ya topics huibwa na kupelekwa forums zingine au blogs na huwa tunalalamika sana kuwa hatupewi credits na hao watu.
So we have to do what we preach
Ameandika by Mnato. Ila unajuaje kama mwenye ID hii ya Jamiiforums sio yuleyule mwenye ID nyingine huko Fikrahuru? Mimi shida yangu ni kwamba sehemu nyingine katafsiri toka kwenye kiingereza katika articles za wengine na hajatoa reference ama credit.
 
Weka picha

avatar62672_3.gif


:shocked:
 
Mmmmh hao expert hawachelewi kuvijisha taharifa zako kwenye mahazeti ya udaku

Njia nyepesi ni hiyo ya kutumia nyundo na petrol pembeni

Umenena ndugu, kung'oa mzizi wa fitina vunjilia mbali na nunua mplya for replacement.
 
Back
Top Bottom