Jinsi ya kufunga ndoa na jini

Jinsi ya kufunga ndoa na jini

mleta mada tupe ushahidi wa kimaandiko katika quran kuwa mfalme suleyman alioa majini?
 
Hana lolote,ni tapeli tu huyu,kaleta no ili atapeli watu wenye tamaa
 
Babu yangu alikuwa anafuga haya madude siku kafa tulikoma.sitasahau nilivyokula makofi na kukwaruliwa na makucha mgongoni.halafu mi ndo nilikuwa kipenzi cha babu yangu asee nadhani asingekufa mapema alikuwa anirithishe.bahati mbaya alikufa ghafla tu asubuhi kaamka kanywa kahawa yake akakata moto hapohapo!daahh hapo ndo kisanga kilianza
 
Sasa yameenda wapi?
 
Sasa yameenda wapi?
Yalianza kuipiga nyumba mawe na kuvunja vyombo ndani.wakaitwa maulamaa kutoka usangi wakapiga duaa hapo yakakimbia mtaani ilikuwa vurugu.usiombe upigwe upamiwe na jini likiwa linahaha kuokoa maisha yake!kwanza yalikuwa yakilia na kuongea kwamba yamekuwa na familia toka enzi na enzi huko oman leo wanafkuzwa hivyo bila shukrani
 
ahaaaaa mna vituko.hapo kwenu yalikuwa yanawasaidia nini?
 
Yalianza kuipiga nyumba mawe na kuvunja vyombo ndani.wakaitwa maulamaa kutoka usangi wakapiga duaa hapo yakakimbia mtaani ilikuwa vurugu.usiombe upigwe upamiwe na jini likiwa linahaha kuokoa maisha yake!kwanza yalikuwa yakilia na kuongea kwamba yamekuwa na familia toka enzi na enzi huko oman leo wanafkuzwa hivyo bila shukrani
Lol ....
 
Looh makubwa ya jongo

Ila hapa mwishoni kwenye kutafuta namba ya simu ndo nimeona kama hili ni tangazo vile
 
Ushamba na ujinga piga kazi pata pesa mualike Yesu akanyagi nyau kwenye himaya zako.
 
Babu yangu alikuwa anafuga haya madude siku kafa tulikoma.sitasahau nilivyokula makofi na kukwaruliwa na makucha mgongoni.halafu mi ndo nilikuwa kipenzi cha babu yangu asee nadhani asingekufa mapema alikuwa anirithishe.bahati mbaya alikufa ghafla tu asubuhi kaamka kanywa kahawa yake akakata moto hapohapo!daahh hapo ndo kisanga kilianza
Mwisho wake ilikuaje??? Hayo majini yalikupiga kivipi??? Kwenye ndoto au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom