Jinsi ya kuflash simu aina zote

infinity....nck dongle/box...z3x....volcano box....avator box.....octoplus....
 
hapo unabadilishaje imei, au kurudisha imei iliyopotea?
 

Nakupataje nilete yangu,ishawashinda mafundi wengi
 
Tumia menu hii *#*#3646633#*#*
Kipindi cha awali simu yangu ilikuwa inaonesha IMEI sawa na simu husika, hivyo kuonesha ni ORIGINAL ila baada ya kuwa inanizingua nikafanya Hard reset/ Factory reset ambayo imebadili IMEI kwa sasa!! Nikituma IMEI kwenda no ya TRCA 15090 baada ya KUPIGA*#06# inaleta IMEI mpya na Jina jipya la simu ambalo haliendani na simu husika!

BB Chip ni MT 65**, Android version 4.4.2. Nomba msaada wako jinsi ya kurudisha IMEI ya zamani kabla ya TCRA kuizia simu yangu.

CC: UncleUber , CHIEF MKWAWA
 
Simu yako ni aina gani?
Ila kwa kuwa umesema ni mt bas tumia hii link kudownload application ya kuingiza IMEI

mtk-engineering-mode.en.uptodown.com/android
 
Download mtk engineering mode apk kisha fuata maelekezo namna ya kuweka imei
Mkuu msaada wako nmuhimu kwenye hii sim yangu vinginevyo nmekwisha....simu yangu ni Lg 2 og kabisa tatizo lilikuja hii simu ilitolewa IMEI no yake na nkipiga*#06# naletewa 0 na kwenye mfuniko wake wa hii simu kuna imei no nmetuma TCRA wananiambia simu yako orignal. Sasa kiongozi naomba utangulizi wako nfanyaje ili hii Imei iweze kuonekana kwenye simu yangu
 
Mkuu kwa maarifa yangu kuhusiana na namna ya kubadili IMEI ni kwa njia mbili ya kwanza ni

Tumia menu hii *#*#3646633#*#*

Na njia ya pili ni kutumia application ya kuingiza imei ambayo kwa cm za mtk inajulikana kama
Mtk engineering mode
na simu za spreadtrum inajulijana kama
spreadtrum engineering mode
Na namna ya kuzipata hizi unaingia Google unaandika Mtk Engineering Mode Apk Download.
Moja kwa moja zitakuja link kibao za kuchagua na utadownload. Hvyo maelezo mengine yatafuata baada ya mojawapo ya hzo application kukubali
 
Simu yako ni aina gani?
Ila kwa kuwa umesema ni mt bas tumia hii link kudownload application ya kuingiza IMEI

mtk-engineering-mode.en.uptodown.com/android
Ahsante kwa kunireply.
MS Board: mobistel
Model no: Cynus F6
Mkuu Idea ya IT niliyo nayo ni ndogo. Maelezo Tafadhali ndg. Nikisha download afu nafanyeje kuirudisha IMEI ya awali? Make ninayo naikumbuka
 
Ahsante kwa kunireply.
MS Board: mobistel
Model no: Cynus F6
Sorry, naona kama hii Link haiko Active?
Ingia Google andika MTK ENGINEERING MODE APK DOWNLOAD alaf zitakuja link nyingi ila itakuwa vzur ukichagua link iliyokwenye mtandao wa 'uptodownload" na hyo apk ina kb kama 169 ni ndogo sana download na uinstal baada ya hapo ikifanikiwa kuingia nitakupa maelezo mengine
 
Ahsante kwa kunireply.
MS Board: mobistel
Model no: Cynus F6
Mkuu Idea ya IT niliyo nayo ni ndogo. Maelezo Tafadhali ndg. Nikisha download afu nafanyeje kuirudisha IMEI ya awali? Make ninayo naikumbuka
Mkuu nakuwekea link hapa chini ni nzur kwa maelekezo ya hatua kwa hatua namna ya kurudisha imei ya awal kutokana na hyo program uliyoidownload mwanzo

HOW TO FIX INVALID IMEI {3 METHODS} | Micromax unite 2 official

Sio mjuaj sana kama nakosea wataalamu wanaweza nisahihisha
 
Daah nashukuru sna mkuu. Maelezo yako clear sn.
Ngoja nipige kazi naona boss anazunguka zunguka hapa asije ni mind bure!! Any time nitakupa feedback.
Ubarikiwe sanaaaaaaa.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…