Jinsi ya kuflash simu aina zote

kama sijakose nadhani ni makutano ya uhuru na swahili. Leo nitaku pm nikupe contact za NAHEEM kisha utajribu kutathmin.hapo utapata kila aina ya mabox ila anza na hayo ambayo yamependekezwa na wadau.
asante kwa maelekezo.
 
Mauweeee!!
 
Lkn bro kumbe hakuna kifaa maalum ambacho unaconect na pc
Ndo kinaweza kuflash cm ?
Usb tu unaweza kulash cm ?
 
kuflash nnavyojua mie ni kufuta kila kitu/kuformat kisha urudishe os upya...

kilichonifanya nipeleke kwa mafundi nilikuwa nikiamini kuna kifaa kinahusika kuflash, ila nilipogoogle nikagundua sio lazima icho kifaa, kwani zile modem za e173 tulitumia kifaa chochote kuflash?
 
Nataka kufanyia zoezi hii kitu Tecno yangu maana na mm kuna jamaa angu anayo Tab inaji restart...

Na inashindwa kudetect SIM card sasa sijui ni hardware issue au software issue?
 
jaribu ulete feedback
 
Nataka nije niharibu kutumia ubuntu os kwa lumia yangu nione kama itakubali.,
 
Mda wote huo umejificha wap we mtaalam bhana! Nipm ktk hii namba tufanye kaz bhana on air
 
C6 hebu nisaidie mawazo kidogo nina samsung ya kichina ni i8190 MT6575 nimepata ROM yake vzr na nikifuata procedure hapo juu inaenda hadi mwisho ila ukiwasha kioo kinakuwa cheupe na hakuna kinachoendelea zaidi ya kusikia iki vibrate kidogo tu....
 
Last edited by a moderator:

wakati unaanza kuweka rom hakukuwa na neno lolote kuonesha kulikuwa na makosa popote?
 
First boot! baada ya kuflash inachukua muda inabidi usubirie, kama ime vibrate ndio ipo katika prosses.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
wakati unaanza kuweka rom hakukuwa na neno lolote kuonesha kulikuwa na makosa popote?

Kaka nimeweza kuroot tecno h5,ila ujanja wa kuweka ROM ndo shida...hasa sijui kufanya back up ya system....naomba Maelezo bro,niweke ROM mpya.
 
kwanza tafuta rom ya simu yako. kisha fuata step pale juu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…