mimi nina E303 Hilink, inakuaje?
nani kakwambia yeye ni begginner?
Basi kama we si begginer emu weka Procedure ya ku-Unlock Huawei E3131 ziko sokoni sasa
Pili ku-upgrade firmware nako ni risky tena zaidi kuliko ku-flash sababu kwa njia aliyotoa kaka mkubwa na aliyotoa gkiwango zote ziko sawa
FAIDA YA NJIA HII
-Iwapo process itafail unaweza kuchukua DATA za Modem nyingine ya E303 uka-RESTORE kwenye modem iliyofail
Mm hii njia naitumia sana kwa E173 na E153 hivo sijawai haribu modem hata siku moja
HASARA ya NJIA ya ku-upgrade firmware
-Iwapo kipindi inasema Downloading files haitofika mwisho juu to some Reasons basi modem ni BYE BYE na hautoweza fanya kitu kingine unatupa tu....Pamoja kuwa ni RAHISI
za airtel vp au ww upo pande zp tukufuate
Wakuu.
Nimejaribu ku unlock modem yangu ambayo ni used lakini inaniandikia unlock attempting is 0.
Kwahiyo imenigomea kuchakachulika na kuwa universal.
Nifanye ili iwe universal? Au ndio haiwezekani tena?
Shukrani.
acha ubahili hiyo imekufa nunua nyingine.Wakuu.
Nimejaribu ku unlock modem yangu ambayo ni used lakini inaniandikia unlock attempting is 0.
Kwahiyo imenigomea kuchakachulika na kuwa universal.
Nifanye ili iwe universal? Au ndio haiwezekani tena?
Shukrani.
> Je ni model gani hiyo modem?
> Umetumia "tool" ipi kufanyia unlocking?
> Je ni model gani hiyo modem?
> Umetumia "tool" ipi kufanyia unlocking?
acha ubahili hiyo imekufa nunua nyingine.
Wakuu.
Nimejaribu ku unlock modem yangu ambayo ni used lakini inaniandikia unlock attempting is 0.
Kwahiyo imenigomea kuchakachulika na kuwa universal.
Nifanye ili iwe universal? Au ndio haiwezekani tena?
Shukrani.
Tehe !!!!! Tehe!!!!!!!!!!!Tehemodem ndo nini na ikoje maana niliwapigia zantel wanisaidie setting ya simu yangu tecno S9 wakaniuliza modem ya cm nikachemka,nisaidieni