Jinsi ya kufika St. John University Dodoma

Kutoka sabasaba hadi chuoni si unatembea tu kwa mguu jamani.ka mji ka dodoma si kakupanda bajaji wala hiace,labda kama unaenda huko nkuhungu au st gema, mi nitoke katikati niende area c kwa boda,labda niwe na haraka sana,huwa nanyoosha miguu tu kuuweka mwili sawa
 
Ila ngoja nitumie bajaji mkuu
 
Mkuu
Kuna situation za kutembea mfano ukiwa na marafiki au unatembetembea lakin yeye najua atakua na mizigo na uchovu wa safari pia
Jinsi ww unavyowaza ni tofauti na yeye mkuu
 
SJUT! Wangekuwa na Fedha tunge disco sanaaaa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…