Tysher
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 207
- 76
Camp David kumbe bado ipo?kawasalimie camp D,
Camp David kumbe bado ipo?kawasalimie camp D,
Samahani mkuu,kwani hakuna daladala zinazokwenda huko?
Mkuu
Kariakoo kufanya nini tena?
Hakika, ndio maana nikamwambia hiyo buku ataijutia, sema ugeni ndio tatizo.Mkuu apo sabasaba hadi tanesco si anakatiza tuu dom sec alafu manispaa, hamna mwendo wa kupanda boda apo atapoteza buku bure
Kutoka sabasaba hadi chuoni si unatembea tu kwa mguu jamani.ka mji ka dodoma si kakupanda bajaji wala hiace,labda kama unaenda huko nkuhungu au st gema, mi nitoke katikati niende area c kwa boda,labda niwe na haraka sana,huwa nanyoosha miguu tu kuuweka mwili sawaUkiwa stand ya sabasaba
Kwakua ww mwenyeji itakubidi upande bodaboda, umwambie akupeleke jamatin kwenye bajaji za kwenda kikuyu
Ukifika hapo utaona bajaji nyingi tu, panda hizo
Kama unaenda chuo mwambie akushushe geti kuu la st john's university of Tanzania.
Then endelea na utaratibu mwingine mkuu.
Ila ngoja nitumie bajaji mkuuKutoka sabasaba hadi chuoni si unatembea tu kwa mguu jamani.ka mji ka dodoma si kakupanda bajaji wala hiace,labda kama unaenda huko nkuhungu au st gema, mi nitoke katikati niende area c kwa boda,labda niwe na haraka sana,huwa nanyoosha miguu tu kuuweka mwili sawa
Kutoka sabasaba hadi jamatin kwa boda ni 1000, bt kutoka jamatin had kikuyu kwa bajaji ni 500Kweli mkuu c unajua tena watu wa bodaboda walivyo anaweza kukwambia hata 10,000 wakati ni umbali mfupi tu
Pia msalimie mama kkawasalimie camp D,
MkuuKutoka sabasaba hadi chuoni si unatembea tu kwa mguu jamani.ka mji ka dodoma si kakupanda bajaji wala hiace,labda kama unaenda huko nkuhungu au st gema, mi nitoke katikati niende area c kwa boda,labda niwe na haraka sana,huwa nanyoosha miguu tu kuuweka mwili sawa
Kwahiyo ushafika tayari..Habari za leo wakuu,naulizia jinsi ya kufika St. john university Dodoma kutokea stendi ya Sabasaba.
Natanguliza shukrani🙏🙏.
Upo mwaka wa ngapi mkuu..Ndio mkuu
Ahaa safi hongera kumbe mshaanza kuripoti. Upo kozi gani kijana.Mwaka wa kwanza mkuu