Jinsi ya kufika St. John University Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
474
Reaction score
622
Habari za leo wakuu, naulizia jinsi ya kufika St. John University Dodoma kutokea stendi ya Sabasaba.
Natanguliza shukrani🙏🙏.
 
daladala route za kati kati hakuna,.zinapita rami ya juu ile ya kwenda iringa then zinapita apo stand ya Kikuyu (image).. Unaweza kushukia hapo stendi image (Kikuyu) shuka lami pale Sheri ingia Chuo..
 
Ukiwa stand ya sabasaba
Kwakua ww mwenyeji itakubidi upande bodaboda, umwambie akupeleke jamatin kwenye bajaji za kwenda kikuyu
Ukifika hapo utaona bajaji nyingi tu, panda hizo

Kama unaenda chuo mwambie akushushe geti kuu la st john's university of Tanzania.

Then endelea na utaratibu mwingine mkuu.
 
Jamaa kauliza "kwani hakuna daladala" maana yake ni anaogopa bei ya hizo boda boda na bajaji

Kweli mkuu c unajua tena watu wa bodaboda walivyo anaweza kukwambia hata 10,000 wakati ni umbali mfupi tu
 
Ukiwa stand ya sabasaba
Kwakua ww mwenyeji itakubidi upande bodaboda, umwambie akupeleke jamatin kwenye bajaji za kwenda kikuyu
Ukifika hapo utaona bajaji nyingi tu, panda hizo

Kama unaenda chuo mwambie akushushe geti kuu la st john's university of Tanzania.

Then endelea na utaratibu mwingine mkuu.
Nashukuru mkuu
 
Kutoka stendi ya sabasaba hadi jamatini/tanesco kwenye bajaji ni 1000 tu kwa bodaboda. Then unachukua bajaji hadi geti la chuo kwa jero tu.
Hiyo buku utaijutia, sema ndo hivyo tena ugeni.

Akhsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom