Jinsi ya kufika Magoroto Forest

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
196
352
Kwa Wale waenyeji wa Mkoa wa Tanga ningependa kunijulisha nawezaje kufika Magareto Forest mimi sikuwahi kufika Tanga na ninaelekea huko kwa Semina ya Wiki 2.

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Magareto au magoroto? Tulia uafanue vizuri ili ueleweke siyo kuandika kama unakimbizwa
 
Ni Magoroto Forest Mkuu,

Inapatikana Wilaya ya Handeni.
Ukifika Tanga Mjini Kuna Mabus Yanaenda Yanayoenda Handeni.

Ukifika Handeni ni rahisi mno kufika Magoroto kila mtu anapafahamu.

Ni kuzuri mno,Jitahidi ufike uone ni jinsi gani Tanzania Tumebarikiwa Mazingira Tulivu na Yenye Kuvutia.

Jitahidi pia Kutembelea Kalambo Water Falls Ipo Mkoa Wa Rukwa Uone Mungu Alivyotupendelea.

Tanzania ni zaidi ya Dar,
Tanzania ni Kubwa Mnoo.
 
Kwa Wale waenyeji wa Mkoa wa Tanga ningependa kunijulisha nawezaje kufika Magareto Forest mimi sikuwahi kufika Tanga na ninaelekea huko kwa Semina ya Wiki2
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Waweza kushuka Mkata pia kama hutaki kwenda Ta mjini, ukachukua gari ziendazo Handeni.
 
Ukija Tanga jaribu kufika Lushoto pia kujionea kazi ya muumba wetu ilivyotukuka. View points na misitu ya kutosha. Karibu sana.
...ooh Ahsante sana nitajiribu kufika kweli watu wa Tanga niwakarimu
 
Ni Magoroto Forest Mkuu,

Inapatikana Wilaya ya Handeni.
Ukifika Tanga Mjini Kuna Mabus Yanaenda Yanayoenda Handeni.

Ukifika Handeni ni rahisi mno kufika Magoroto kila mtu anapafahamu.

Ni kuzuri mno,Jitahidi ufike uone ni jinsi gani Tanzania Tumebarikiwa Mazingira Tulivu na Yenye Kuvutia.

Jitahidi pia Kutembelea Kalambo Water Falls Ipo Mkoa Wa Rukwa Uone Mungu Alivyotupendelea.

Tanzania ni zaidi ya Dar,
Tanzania ni Kubwa Mnoo.
...Ahsante na niwie radhi nikutokuijua hiyo sehem na kutokua kufikia ndio maana nikakosea kwenye kuiandika
 
Ni Magoroto Forest Mkuu,

Inapatikana Wilaya ya Handeni.
Ukifika Tanga Mjini Kuna Mabus Yanaenda Yanayoenda Handeni.

Ukifika Handeni ni rahisi mno kufika Magoroto kila mtu anapafahamu.

Ni kuzuri mno,Jitahidi ufike uone ni jinsi gani Tanzania Tumebarikiwa Mazingira Tulivu na Yenye Kuvutia.

Jitahidi pia Kutembelea Kalambo Water Falls Ipo Mkoa Wa Rukwa Uone Mungu Alivyotupendelea.

Tanzania ni zaidi ya Dar,
Tanzania ni Kubwa Mnoo.
..Hivi naomba kukuuliza Handeni ndio Muheza!maana nimeambiwa baadhi ya watu kua Magoroto Forest Island ipo muheza kilometers 12 kutoka muheza mjini
 
Mkuu Kumradhi.

Nimekosea kutype ni Muheza Tanga.
Ukifika Muheza Mjini ni kama tu umeshafika Magoroto Ni Umbali wa Kilometres Chache tu.

Samahani sana Mkuu.
 
Ni Magoroto Forest Mkuu,

Inapatikana Wilaya ya Handeni.
Ukifika Tanga Mjini Kuna Mabus Yanaenda Yanayoenda Handeni.

Ukifika Handeni ni rahisi mno kufika Magoroto kila mtu anapafahamu.

Ni kuzuri mno,Jitahidi ufike uone ni jinsi gani Tanzania Tumebarikiwa Mazingira Tulivu na Yenye Kuvutia.

Jitahidi pia Kutembelea Kalambo Water Falls Ipo Mkoa Wa Rukwa Uone Mungu Alivyotupendelea.

Tanzania ni zaidi ya Dar,
Tanzania ni Kubwa Mnoo.
Acha upotoshaji magoroto ipo muheza sio handeni, unapanda Mabasi yaendayo tanga mjini ukifika muheza unashuka unapanda bodaboda, au Tex ni kilomita 12 kutoka muheza mpaka magoroto
 
SAMAHANI WADAU. .

Hivi mji wa Handeni na pale Bagamoyo Mjini wapi ni pakubwa zaidi au panaonekana pamechangamka sana?

Na vipi Handeni mji na Mafinga Mji wapi pamechangamka sana au pameendelea zaidi?
 
Ni vitu viwili tofauti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom