Jinsi ya kufanya SCREEN SHOOT kwenye Pc

Jinsi ya kufanya SCREEN SHOOT kwenye Pc

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari wana jf
naomba yeyote mwenyekujua jinsi ya kufanya screen shoot kwenye pc
natumia laptop aina ya Toshiba satelite Operating system ni window 7 starter
 
Very simple Just bonyeza sehemu iliyoandikwa Print screen (PRNT SCRN)

Halafu ingia Kwenye PAINT program utaona sehemu ya kushoto juu Pameandikwa PASTE bofya utaona screenshot yako
 
Attachments

  • 1397637359565.jpg
    1397637359565.jpg
    19.1 KB · Views: 225
mbona nimefanya hivyo haijatokezea au inakuwaje mkuu
Very simple Just bonyeza sehemu iliyoandikwa Print screen (PRNT SCRN)

Halafu ingia Kwenye PAINT program utaona sehemu ya kushoto juu Pameandikwa PASTE bofya utaona screenshot yako
 
Click prtScn the paste, Kama unapata shida ku paste.....nenda kwenye word au powerpoint then paste utaona kinatokea kila unachokiona katika screen yako
 
ImageUploadedByJamiiForums1397640320.276690.jpg

Je unaona hiyo PrtSc button? Kuna baadhi ya laptop ukibonyeza tu hiyo unapaste screenshot yako. Kuna nyingine kama Toshiba ni mpaka utumie Fn+PrtSc

Asante
 
Hata kwenye word document unaweza paste, ukitaka itokee unayotaka tu, bonyeza F11 kuondoa bonyeza tena F11 uwe umeclick kwenye utakalo ili iwe active then bonyeza.
 
Yeah... Kwangu imekubali. Je kwenye simu wakuu tunafanyaje??

Mkuu inategemea na aina ya simu. Mfano samsung unaswipe screen from left to right kwa palm ikiwa imecover screen nzima. LG unabonyeza power button na volume (lower volume) kwa pamoja, iphone unabonyeza home button na power button kwa pamoja.
 
Very simple Just bonyeza sehemu iliyoandikwa Print screen (PRNT SCRN)

Halafu ingia Kwenye PAINT program utaona sehemu ya kushoto juu Pameandikwa PASTE bofya utaona screenshot yako

asante kwa ufafanuzi ngoja nijaribu then nilete feedback
 
Back
Top Bottom