Unajua maana ya Internal na External?
Ni sawa na kusema unataka mtoto awe baba na baba awe mtoto. Labda ungesema unataka kumpa mtoto majukumu ya baba na baba majukumu ya mtoto ungekuwa sawa ila huwezi kufanya memory card iwe internal storage KAMWE!..
Sasa kama linawezekana mbona hujaweza.
Inabidi simu iwe na android 6 kupandaKheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu.
Baadhi ya simu za android zimekua zikija na internal memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (memory card) ili kuweza kuongeza space lakini kumekua na utofauti wa internal memory na SD card memory.
Nikihitaji kuifanya memory labda yenye GB 64 kua internal memory kwenye android device yenye ukubwa wa 16 GB itanipasa kufanya process gani wakuu?
Natanguliza shukurani…
Chief-Mkwawa
senetor
mikumiyetu
kali linux
Clearly anataka kujua namna ya kuifanya memory card kuwa default storageUnajua maana ya Internal na External?
Ni sawa na kusema unataka mtoto awe baba na baba awe mtoto. Labda ungesema unataka kumpa mtoto majukumu ya baba na baba majukumu ya mtoto ungekuwa sawa ila huwezi kufanya memory card iwe internal storage KAMWE!..
we jamaa huwa unajua sana, hongera sana kwa kutatua shida za wananzengoInabidi simu iwe na android 6 kupanda
Na pia ni vyema hio memory card iwe ni A series, hizi ndio zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unaenda setting then storage then adaptive storage na kuformat memory card kama internal.
Baadhi ya simu hazina hio menu hadi utumie adb commands.
Hio njia ukishaitumia memory card yako inakuwa haitumiki popote hadi uiformat. Hivyo ikiwa katika hio state inakosa sifa ya kuitwa external storage.Clearly anataka kujua namna ya kuifanya memory card kuwa default storage
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji106][emoji106] Shukurani Sana kwa kutoa Elimu inayo eleweka vizuri [emoji122][emoji122][emoji122]Inabidi simu iwe na android 6 kupanda
Na pia ni vyema hio memory card iwe ni A series, hizi ndio zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unaenda setting then storage then adaptive storage na kuformat memory card kama internal.
Baadhi ya simu hazina hio menu hadi utumie adb commands.
Inabidi simu iwe na android 6 kupanda
Na pia ni vyema hio memory card iwe ni A series, hizi ndio zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unaenda setting then storage then adaptive storage na kuformat memory card kama internal.
Baadhi ya simu hazina hio menu hadi utumie adb commands.
Tumia adb then, umewahi hata siku moja kuitumia adb? Simu ni aina gani?Asante chief
Memory ni A1 kama hii uliyodisplay na android version ya device ni 7.0
Nimejaribu kuingia kwenye storage hakuna option kama ulizotaja ila zipo hizi
View attachment 1302926
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia adb then, umewahi hata siku moja kuitumia adb? Simu ni aina gani?
Unatumia simu gani. Kuna simu ukiinsert tu memory inakuuliza kama ungependa kuitumia kama internal memory kikubwa ikiwa slow simu pia yaweza kuwa slow.
Ila ngoja watasha waje Chief-Mkwawa
1. Utatakiwa uwe na computer.
adb shell
sm list-disks // HERE YOU GET YOUR DISK ID, SOMETHING LIKE "disk:179,64" - REMEMBER THOSE NUMBERS
sm set-force-adoptable true //
IN NEXT LINE, SIMPLY PUT THOSE NUMBERS AFTER "disk:" AND ALSO AFTER WORD "mixed" TYPE PERCENTAGE OF SPACE LEFT AS EXTERNAL, SO IN MY CASE:
sm partition disk:179,64 mixed 60 //
IT TAKES TIME. BE PATIENT. WITH THIS LINE I TRANSFORMED WHOLE EXTERNAL SD INTO 40% OF INTERNAL AND 60% OF EXTERNAL
sm set-force-adoptable false
Unajua maana ya Internal na External?
Acha ujuaji hata wenye simu wanasema hvo hata video youtube zimeandikwa hvo ..kufanya memory card as internal
Ni sawa na kusema unataka mtoto awe baba na baba awe mtoto. Labda ungesema unataka kumpa mtoto majukumu ya baba na baba majukumu ya mtoto ungekuwa sawa ila huwezi kufanya memory card iwe internal storage KAMWE!..
Sasa kama linawezekana mbona hujaweza.
Kheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu.
Baadhi ya simu za Android zimekuwa zikija na Internal Memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (Memory Card) ili kuweza kuongeza space lakini kumekuwa na utofauti wa Internal Memory na SD card Memory.
Nikihitaji kuifanya memory labda yenye GB 64 kuwa Internal Memory kwenye Android device yenye ukubwa wa 16 GB itanipasa kufanya process gani wakuu?
Natanguliza shukrani.
Chief-Mkwawa
senetor
mikumiyetu
kali linux