Jinsi ya kufanya biashara na watu wa mwanza!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,834
Wewe ni mjasiriamali/mfanya biashara ?

Unafanyia shughuli zako jijini Dar Es salaam au/na Arusha ?

Unataka kupeleka bidhaa zako jijini Mwanza ?

CHUKUA MAUJANJA YA BURE HAPA :

Kama wewe ni mfanya biashara unaye fanyia shughuli zako jijini Dar au/na Arusha na unataka kuepeleka bidhaa zako jijini Mwanza, fanya hivi .

Anzisha na sambaza propaganda kupitia media kuwa bidhaa yako inakubalika sana jijini Dar Es salaam na Arusha. Kwa mfano, unauza nguo, propaganda yako ieleze kuwa nguo zako zinauzika sana jijini Dar Es salaam na Arusha .

Katika propaganda zako, yataje majiji ya Dar na Arusha kama majiji makubwa ya Tanzania. Mfano: Katika utafiti wetu tulio ufanya katika majiji makubwa ya Tanzania yaani Dar Es salaam na Arusha, tumegundua kuwa kuna hitaji kubwa sana la maziwa ya mbuzi kwenye majiji hayo...

...Sinema hii itazinduliwa katika majiji makubwa ya Tanzania yaani Dar Es salaam na Arusha...

HAKIKISHA HAUITAJI KABISA MWANZA..PRETEND AS IF YOU DONT KNOW ANY THING ABOUT MWANZA. HATA KAMA UTAKUWA LABDA UNAFANYA INTERVIEW KWENYE TV AU RADIO HALAFU IKATOKEA MTU AKAZUNGUMZIA KUHUSU MWANZA, POTEZEA NA IUE STORI YA MWANZA KIAINA..CONCENTRATE WITH DAR ES SALAAM AND ARUSHA...

Ukifanya hivi, utakuwa ume jitengenezea soko kubwa sana la bidhaa ama huduma yako kwa watu wa Mwanza.( Rock City )

KWANINI ?
Kwa sababu people of Mwanza are so jealousy with Arusha.. Wanaona kama vile Arusha imechukua nafasi yao.. Wao wana amini wapo juu zaidi ya Arusha na ikitoka Dar inafuata Mwanza, sasa Mwanza inapokuwa haitajwi na kuachwa nyuma katika scenario kama tajwa hapo juu,huwa wanaumia sana . Believe me,hakuna sentensi inayo wachukiza watu wa Mwanza kama inayo yataja majiji ya Dar na Arusha kuwa ndo majiji makuu mawili ya Tanzania.

KWA SABABU HII : Watu wa Mwanza wataanza kuinunua bidhaa yako au kuomba kuletewa huduma yako kwa wingi ajabu ili mradi tu na wao waonekane wanakwenda sambamba na Darusha..Utapokea simu na emails nyingi sana kutoka kwa watu wa Mwanza wakikuomba upeleke huduma yako na Mwanza pia...
 
...wezako wanafanya utafiti lakini wewe naona unatutafuta watu wa Mwanza maneno!...
 
Tukueleweje? Unatoa ushauri wa biashara ama miujanja ya kutokuwa mtu mwaminifu katika biashara yako?
 
Mimi nilikuwa nafuata hiyo bidhaa Arusha manake hapa Mwanza nina order kubwa sana. Tafadhali fanya mpango wa kutuletea na huku
 
Hao watakuwa wake wa Ikungulyabashashi, Nyanh'omango, Nyakurunduma n.k. Sio wa Mwanza Town!!!!
 
Back
Top Bottom