Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Ukimpata anaeenda vizuri usisite kutoa taarifaNimesema kama nimempenda na nimemuona ana akili, biashara ikienda vibaya atajua mwenyewe, unaanza kwa kumpa hela mbuzi unamcheki anavyoenda kama anaenda vzr unamuongezea kama haeleweki sio umsaidii unampiga chini kabisa
Kisu kimegusa mfupa kabisa, pole sanaTumewachoka na huko kulialia kwenu kisa kupigwa vizinga. Kwanza wanaowapiga vizinga huku hawapo huo ujumbe hauwafikii walengwa. Nawashauli mkipigwa vizinga waambieni palepale msituchoshe.
Enheee hapo hapo kuna mmoja aliniombaga $200 nikamwambia plain & simple sina hyo hela (Hata ningekua nayo simpi).Wamekua omba omba halafu ni jeuri.. Mwingine ukimjibu Kuwa hauna pesa kinachofatia ni matusi na dharau tu, utadhani mulifunga mkataba, mweeee!! Hatariiii
Huwezi sikia demu hata siku moja anakwambia,nikwambie dad wangu;Leo Nina ngenye twende unikaze!!!Utasikia yaani Leo nipo home nimelala cna hata mia ya kwenda town saloon,mtatishaaaaaàaaaaa,
Hahahaha kumbe kupiga mzinga ni mazoea yake daaah kwa hiyo anafanya kama mchezo wa bahati nasibu vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna demu alikuwa ananiumiza kichwa kweli hapo mwanzo hasa ukizingatia mzee nimeoza zaidi ya kufa, kwa siku kama hajanipiga mizinga 7 basi mi5, nikiona namba yake naugulia haswa. Siku 1 nikasema mimi ujinga huu nitaenda nao hadi lini, basi nikapiga moyo konde kwamba KUANZIA SASA AKINIOMBA PESA JIBU NI MOJA TU SINA. Basi kuanzia siku hiyo kila akiniomba pesa jibu langu sina, kumbe mwenzangu kuomba kwake ni hobi yake maana pamoja na kila siku kumjibu sina bado anaendelea kuniomba na huu mwaka wa 6 natoka nae na kila tukikutana au nikimpigia au akipigia simu au hata sms ni lazima atanipiga mzinga,japo kwenye mizinga 80 atapata mzinga mmoja tu lakini hakomi.
Kwa kifupi ana bet na mikeka mingi inachanika[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahahaha kumbe kupiga mzinga ni mazoea yake daaah kwa hiyo anafanya kama mchezo wa bahati nasibu vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha umetisha mkuu.kitu kingine nimefurahi umejua tabia ya mkeo na unachukulia ni sehem ya maisha so wajua jinsi ya kumhandle.hapo kwa mtu mgeni ataona vizinga hivi ngoja nisepeee kumbe mwenzio ana bet tuuu hahahahahKwa kifupi ana bet na mikeka mingi inachanika[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Yaani alikuwa ananisumbua sana mwanzo,lakini kwasasa simuulizi kwanini hakomi kuomba na yeye haniulizi kwanini siachi kumjibu sina hata kama ataziona.Hahahaha kumbe kupiga mzinga ni mazoea yake daaah kwa hiyo anafanya kama mchezo wa bahati nasibu vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo kubwa si tu kwamba wanapiga mizinga, isipokuwa, hawana nidhamu wala shukrani baada ya Kupata huo msaada. Hili ndio linakwaza zaidi
Unavyokuwa muungwana zaidi, ndivyo unavyoonekana fala zaidi.
majaribu hayaepukiki,ni kuyashinda tu....Huko kwa wacheza basketball ntaingia majaribuni 😀
Bora hapa kwa wanaume wa dar
Na hilo neno pia mwanaume mwingine ana hakikisha anafunguwa na wallet imejaa noti huku akijionyesha muache kuwatamanisha na wenzenu kwa makusudi.au ataanza historia yake nna nyumba mbili gari 4 naendesha hiki.mara nikupe nini sasa nao wadada wanafikiri eee kumbe mwanaume ndo anatakiwa kufanya hivyi.na dunia ya sasa kila mtu anasema hamnamapenzi ya kweli kwahiyo kila mmoja anataka kumtumia mwenzie.tungekuwa na mapenzi ya kweli haya yote yasingetokea
Yaani usiwaze wala usipepese macho. Tena mi sina discount ktk mzingaNnao mzinga ntaulipua hapo kwako