Abdul mrope
Member
- Jul 6, 2017
- 37
- 79
Daaautatumiaje pesa nyingi kuliko kipato chako? hizi pesa nyingi umezipata wapi?
"Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba" kama una wanunulia watoto wako chochote wanachokiomba maana yake wewe si masikini,ungekuwa ni masikini usingekuwa na hata hiyo hela yakuwanunulia chochote
usiamke mapema,,kuna watu wanaamka saa 11 alfajiri kuwahi usafiri kwenda kazini lakini ni masikini,,watu wa dar wasione hii
Hii inawahusu wafanya biashara na waliojiajiri, lakini nyie mlioajiriwa haiwahusu kabisa na hamuwezi kuelewautatumiaje pesa nyingi kuliko kipato chako? hizi pesa nyingi umezipata wapi?
"Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba" kama una wanunulia watoto wako chochote wanachokiomba maana yake wewe si masikini,ungekuwa ni masikini usingekuwa na hata hiyo hela yakuwanunulia chochote
usiamke mapema,,kuna watu wanaamka saa 11 alfajiri kuwahi usafiri kwenda kazini lakini ni masikini,,watu wa dar wasione hii
C kwel*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*
1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.
6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.
7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.
8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.
9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.
10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively[emoji853]
*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utatumiaje pesa nyingi kuliko kipato chako? hizi pesa nyingi umezipata wapi?
"Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba" kama una wanunulia watoto wako chochote wanachokiomba maana yake wewe si masikini,ungekuwa ni masikini usingekuwa na hata hiyo hela yakuwanunulia chochote
usiamke mapema,,kuna watu wanaamka saa 11 alfajiri kuwahi usafiri kwenda kazini lakini ni masikini,,watu wa dar wasione hii
Nice one*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*
1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.
6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.
7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.
8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.
9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.
10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively[emoji853]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kuna logic zingine zinachekesha sana aisee.utatumiaje pesa nyingi kuliko kipato chako? hizi pesa nyingi umezipata wapi?
"Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba" kama una wanunulia watoto wako chochote wanachokiomba maana yake wewe si masikini,ungekuwa ni masikini usingekuwa na hata hiyo hela yakuwanunulia chochote
usiamke mapema,,kuna watu wanaamka saa 11 alfajiri kuwahi usafiri kwenda kazini lakini ni masikini,,watu wa dar wasione hii
Na Kama wewe ni mfanyabiashara huna sababu ya kuamka alfajiri sana kwa sababu wafanyakazi wako watakuuzia biashara yako.Hii inawahusu wafanya biashara na waliojiajiri, lakini nyie mlioajiriwa haiwahusu kabisa na hamuwezi kuelewa
Endelea kujindanganya hivyo hivyoNa Kama wewe ni mfanyabiashara huna sababu ya kuamka alfajiri sana kwa sababu wafanyakazi wako watakuuzia biashara yako.
Wewe ukienda ni kwa ajili ya kufanya mahesabu tu.
wewe una utajiri gani?*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*