Jinsi ya kudownload online video na music bila kutumia software yoyote ile

Sasa kwanini ulog off kabla huja chukua hiyo mifile?!!
mkuu, hata uki log off tu jf, cache automatically inakuwa cleared!!!

Kama nilivyosema video au music ina tegemea sana na protocol inayotumika kuwa delivered kwa mtumiaji wa browser.

Hebu tumia ujanja wako mkuu ku-bypass regional filter ya hii site ya amazon kama hauko us, kisha ujaribishe trailer mojawapo ya video on demand:

Link hii hapa: amazon.com: The hangover: Bradley cooper, ed helms, zach galifianakis, heather graham: Instant video

kama unaweza pia, jaribisha streams za bbc na skysports za kule uingereza kama zinakuwa pre-fetched na kuachwa kwenye cache/temp folder baada ya kumaliza ku-play...
 
Mkuu nimejaribu kama ulivyosema!!!
yep..kwa kutumia proxy ya nobodycanstop.us imekataaa...
ila kuna TRICK ya kuangalia ondemand video ipo hapa...
How To Watch Amazon Instant Video Outside the US

trick ni kutumia VPN connection..so sijajaribu hilo ila mkuu

kwanini utumie nyundo kuua mende? huoni utapoteza nguvu zako bure
tena utaharibu na Tiles zako au floor.....

kama youtube haitoshi kuangalia hiyo Trailer la Hangover...basi kuna site nyingi ambazo

zinatoa video for free tena a gud copy of wat u need...l

Na kichwa cha habari chasema online videos!! thats means zilizo kubali kuplay na sio zilizogoma kuplay, tena nikasema play na upause hadi LOAD yote......

nadhani hii ungeipeleka kule kwenye How to hide Your IP adress

ila thanx mkuu nazidi kuelewa..
Mkuu, hata uki log off tu JF, cache automatically inakuwa cleared!!!

Kama nilivyosema video au music ina tegemea sana na protocol inayotumika kuwa delivered kwa mtumiaji wa browser.

Hebu tumia ujanja wako mkuu ku-bypass regional filter ya hii site ya amazon kama hauko US, kisha ujaribishe trailer mojawapo ya video on demand:

Link hii hapa: Amazon.com: The Hangover: Bradley Cooper, Ed Helms, Zach Galifianakis, Heather Graham: Instant Video

Kama unaweza pia, jaribisha streams za BBC na SkySports za kule Uingereza kama zinakuwa pre-fetched na kuachwa kwenye cache/temp folder baada ya kumaliza ku-play...
 
Mkuu inaacha bwana nimepata...fungua kwa IE HALAFU KWENYE TEMPO folder sort by size ukiona kuna file ina size inayolingana na mp3 song iie 4 u 5 mb basi anza kuzitest kwa kubadilisha extension...yaani badilisha kutoka extension yake na u rename iwe .mp3

easy babu!!!!!!!!! ila kwa nini utegemee lpage hiyo tuuuuuuuuu Umejaribu kusearch huo wimbo kwa kutumia web nyingine na ukakosa kabisaaaaa
tena zipo latest jaribu web hii

www.dilandau.com haijawahi kuni angusha pia kuna www.mp3raid.com zipo nyingi mkuu
jaribu napster. ikiacha niambiee... zengine nshasahau.. used this trick [those days of porn, are they over?? mmm... ] before i got orbit grabber.
 
i know most of the webs do, but sio zote. ofcoz web like mp3raid na beempe3 zitakuwa zinaacha coz the whole point wewe uupate mziki au video. lakini zingine zitakuwa zinauziwa for either commercial reasons or copyright.
 
Huu ndio uzuri wa jf ww ukijua hili mwenzako anajua lile ile tu jazba hakuna hongera jf
 
dah mkuu nakukubali sana ..........nitakupatia kadogo kangu ka mwisho ukaoe.....hahaahah
 
Mkuu, hata uki log off tu JF, cache automatically inakuwa cleared!!!Kama nilivyosema video au music ina tegemea sana na protocol inayotumika kuwa delivered kwa mtumiaji wa browser.Hebu tumia ujanja wako mkuu ku-bypass regional filter ya hii site ya amazon kama hauko US, kisha ujaribishe trailer mojawapo ya video on demand:Link hii hapa: Amazon.com: The Hangover: Bradley Cooper, Ed Helms, Zach Galifianakis, Heather Graham: Instant VideoKama unaweza pia, jaribisha streams za BBC na SkySports za kule Uingereza kama zinakuwa pre-fetched na kuachwa kwenye cache/temp folder baada ya kumaliza ku-play...
Sir, you are an expert ndo maana they can't argue with you in your level, we are third party guys! Huoni (tu)wanavyokwepa maswali yako na kujibu maswali urojo tu
 
haya bana!! ila nadhani limejibiwa soma uzuri!! kama unataka kuona cache za JF basi usi log off kwanza. uataziona na ku copy fasta. anyway tunajifunza tu
 
Back
Top Bottom