SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
- Thread starter
- #21
Sasa kwanini ulog off kabla huja chukua hiyo mifile?!!
mkuu, hata uki log off tu jf, cache automatically inakuwa cleared!!!
Kama nilivyosema video au music ina tegemea sana na protocol inayotumika kuwa delivered kwa mtumiaji wa browser.
Hebu tumia ujanja wako mkuu ku-bypass regional filter ya hii site ya amazon kama hauko us, kisha ujaribishe trailer mojawapo ya video on demand:
Link hii hapa: amazon.com: The hangover: Bradley cooper, ed helms, zach galifianakis, heather graham: Instant video
kama unaweza pia, jaribisha streams za bbc na skysports za kule uingereza kama zinakuwa pre-fetched na kuachwa kwenye cache/temp folder baada ya kumaliza ku-play...