Lugha siyo tatizo, tatizo ni content na malengo, yaani sijuwi nisemaje
halafu blog nyingi wanataka waziendeshe bure kwa 100% huku wakitegemea kupata hela kwa style hiyo! mtu hawezi kununua hata domain ya elfu 25? kila mtu .blogspot with poor design and loading speed, poor content arrangement. Kuna blog chache sana unaona watu wapo serious nyingine nyingi ni vituko tu.
Pia ni mhimu mtu ajifunze namna ya kuandika, kanuni za uandishi nk
Watu wanaozungumza kiswahili ni wengi sana shida ni namna ya kuwateka, na imani hata ukiwa na watu elfu 10 tu inatosha kutengeneza hela bila hata adsense