Jinsi ya kuconfirm chuo

Jinsi ya kuconfirm chuo

rude Boi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2021
Posts
333
Reaction score
637
Wana jfm naomba mwongozo wa namna gan ya kufanya confirmation ya chuo endapo mwanafunz kachaguliwa chuo kimoja tu..........natanguliza shukrani
 
Wana jfm naomba mwongozo wa namna gan ya kufanya confirmation ya chuo endapo mwanafunz kachaguliwa chuo kimoja tu..........natanguliza shukrani

Hakuna confirmation kwa mtu aliyechaguliwa chuo kimoja.Yeye asubir Admission letter tu tena kama ni Udom wameshatoa tayari.
 
Back
Top Bottom