Jinsi ya kuchora ramani za umeme. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuchora ramani za umeme.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tizo1, Nov 5, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani wataalamu naombeni msaada wa hali na mali.Nahitaji mtu wa kunifundisha kuchora ramani za umeme wa majumbani.Kanuni zake ni zipi?Msaada jamani.Nipo safi katika vitendo ila nadharia inanisumbua kidogo.
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  saa vitendo si ndio vinafanya kitu kionekane? wewe kama unataka theories just google....
   
 3. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Kuna vitabu on line na hata through autocad manscript utaweza kusoma. Ila technical background matters a lot to get the drawings right
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Mkuu hapa umetuacha kidogo maana sijaelewa ni ramani kuchora kwa umeme au michoro ya ramani ya umeme ktk nyumba, hebu tusaidiane ili tuelewe.
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,800
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Yapo mambo ya msingi inabidi uyafahamu kabla ya kuwa na uwezo wa kuchora na kusoma ramani za umeme.:

  1 voltage

  2 current

  3 resistance

  4 uhusiano kati ya voltage na current (ohms law)

  5 parallel na series circuits.

  Soma kitabu cha fizikia form 2 na kuendelea hasa electric circuits.Baada hapo itabidi usome kitabu cha building services hasa electric fittings.
   
 6. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Asanten jaman.Kila nikifanya wiring nashindwa kuhamishia kaz kwenye kasatas katika mfumo wa ramani.
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  jaribu microsoft visio unaipata kwenye package ya 2003 au 2007
   
 8. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  AoutoCAD 2011 ina kila kitu, sasa wewe wiring unafanyaje bila mchoro, mchoro ndio lugha ya kihandisi/kifundi. Symbol za switch, diode, resistance, current, utapata kila kitu.
   
 9. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  dah ndugu yangu.huku uswazi tunapiga kazi kienyeji.ndo mana nimeamua kujiongeza ili niwe next level..,
   
 10. mujungu

  mujungu Senior Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Fika chuo kilicho karibu au ofisi ya tanesco
   
Loading...