Jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes.

Kuna Wapumbafu wametoka huko Facebook kwa wapumbaf wenzao wamevamia Humu JF na majibu yakipuuzi wanakera sana, shenzi zao, wanadhani ni utotototo tu, nimekasirika kweli hapa aah!

ni kweli kabisa mkuu. jukwb hili siku hizi limevamiwa na kunguru kutoka huko facebook wanatoa majibu utadhani mende wa chooni!
 
Majibu mbona hayatolewi jaman? Leteni bana maisha yameshakua magumu saiv bana, yaani hii star time hata nikilipia buku 20 kwa mwez bado naona hainitoshelezi kulingana na nilicholipia, saiv naangalia tbc1 na chanel 10 maana ndo vilivyobaki free wakati itv na eatv vimetawaliwa na scraching tupu yaan hadi nimechoka na star time sema nahisi cjui king'amuzi gan kitanifaa! ukifanya mchezo unaweza kununu vng'amuzi hata 10 na ukabaki masikini tu!
 
Nunua cha Easy Tv,buku kumi kw mwez!alaf ful HD, local channel zote isipokuwa Sibuka na Star Tv.Channel zote kubwa za habari za nje na Movie za kufa mtu,Gospel channels kama ni muumini and no scratching!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
bei sh. ngapi.?
itv na eatv zipo.?
 
Back
Top Bottom