Jinsi ya kuchaji maji

Maana yake maji hayo yaweza ponya magonjwa,kufanya kinga,kufukuza mapepo,kuvuta biashara,kuyaoga na kuinua nyota n.k ???????

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Maana yake maji hayo yaweza ponya magonjwa,kufanya kinga,kufukuza mapepo,kuvuta biashara,kuyaoga na kuinua nyota n.k ???????

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Sahihi kabisa

Jr[emoji769]
 
Mshana, vipi haya maji tunayoita ya KISIMA.....!!

Tunaelewa na wengine huamini yanatoka mita 70 mpaka 90 chini ya miamba ardhini (kama sijakosea)

Je maji haya hayahitaji kupata Upako/Utakaso ili yaweze kuwa PURE WATER angalau kwa kiasi fulani, isije kuwa pengine kuyatumia kama yanavyotoka labda tunachangia Uchafu (Najisi) na Viumbe kutoka Anga nyingine....

Naomba Mshana Jr utupe UFUNUO kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yana kemikali yale, kemikali za kuchoronga miamba na ardhi

Jr[emoji769]
 
Me too naishi Kinondoni Manyanya.
Wibu street.....wapi nije?
Najua utakuwa na madini mengine adimu pia.
Mmh mbona kama Wibu iko A? Nyuma ya kituo cha daladala?

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…