Naomba msaada wa kunijuza jinsi ya kubadili username hapa JF kwasababu hii ninayotumia sasa inatatiza wengi endapo nikipost uzi..mimi ni msichana ila username ni ya kiume msaada kwa hilo wakuu ili niweze kubadilisha asanten
Habar wanaJF.naomba msaada wa kunijuza jinsi ya kubadili username hapa JF kwasababu hii ninayotumia sasa inatatiza wengi endapo nikipost uzi..mimi ni msichana ila username ni ya kiume msaada kwa hilo wakuu ili niweze kubadilisha asanten