habarini zenu jf
naombeni msaada nina movie katika laptop yangu ambazo zipo katika lugha za kirusi na zingine kichina sasa hebu niambieni wakati naplay can i change language to english?natumia VLC media player
Inategemea; kama uli-copy folder zima from the DVD/CD inawezekana but then inategemea pia kama hiyo movie ni original na ilitengenezwa kwa lugha tofauti, kitu ambacho ni nadra sana!Bongo kupata movie original ni kazi kubwa sana most of us can't even afford.
Kama uliu-copy movie format file then sahau kubadili lugha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.