Simu yangu ni Nokia Lumia 620. Features zake ni Microsoft Window Phone 8, Upgradable to WP8 Amber. Napata tatizo kwenye WhatsApp pale ninapotaka kutuma picha au video ambayo ninayo tayari kwenye Memo card au Phone memo. Hainipi option ya kuchagua kutoka huko, hata ukianzia kwenye picha au video yenyewe iliyohifadhiwa tayari, badala yake inanilazimisha kupiga picha mpya au video mpya ndipo iitume kwenye WhatsApp. Nifanyeje?