Jinsi ya Kuanzisha Gazeti Kikanda

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Wa Salamu,

Binafsi nina mpango wa kuanzisha gazeti la habari ambalo litakuwa linatoa taarifa za Kikanda katika mojawapo ya kanda za taifa la Tanzania. Nataka lijikite zaidi kwenye uchumi, kilimo na mambo ya kijamii.

Sasa, nimeshindwa kufanya tathmini ya ndani kabisa kwa sababu si mwandihsi wa habari kitaaluma.

Naweza pata vigezo na maelezo ya kawaida ya kufikia lengo hili, kabla sijatafuta mtaalam mshauri?
 
Back
Top Bottom