Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Naomba maelezo ya kufika kwenye hyo searching
 
Ingia menu, then system setting, then channel search, right click kwenye manual search then andika 531 au 570
Duh! wabongo noma, mchina akishtukia atapandisha bei, mpaka mtajuta.. teh teh...
 
ingia kwenye serching kisha ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza tu tunamaliza

umerudia nlicho wai kukiandika katika jukwa laa Technologia nadhani miezi minne imepita kama sio mitano
 
Duh kweli wabongo noma!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ok

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Daa! Wabongo noma nimemuagiza dogo kaniambia kitu kimejipa!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom