Jinsi ya kuangalia channel za ving'amuzi vyote Tz

regnaldshirima

Senior Member
Aug 18, 2014
124
225
For Education Purpose.
Zima King'amuzi.
Bonyeza OK botton katika King'amuzi
Kisha washaa kwa kutumia remote.
subiri iwake....
kisha zima kwa power botton iliyopo katika king'amuzi.
baada ya kuzima
bonyeza botton power katika remote mara 5
ita andika OTA kisha menu
sellect Modulations
chagua dvb-s kisha click enter
chagua channel unlocking
change 506 to 671
then save by click ok
do it untill us see channel unlocking successuffulyNote: wakati unafanya haya ondoa smartcard.baadhi haita kubali kutokana na code number jaribu bahati yako kwa kupiga hesabu hili mf 506 (506/3)=168-3=165+506=671-(last 3 decorder serial numbe)+(last 2 smartcard number)

for education purpose.
 

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
770
250
aisee.... kama nilishalipia nisubiri mwezi uishe au naweza jaribu hizo code...
 

Liuumi

Senior Member
Jun 17, 2015
165
250
Maana ake unasema kama ikijatokea sio 506 then tutatumia iyo hapa simple mathematics
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom