Jinsi ya kuandika barua ya Uchumba

Jinsi ya kuandika barua ya Uchumba

Basi nenda kwa Padri wako akuelekeze .......Ila nae Padri atakuonea donge akisikia mzee unaoa,
Iko dhahiri kuwa padri hajawahi andika hiyo barua hata mara moja, vipi ataweza kweli kumwelekeza vilivyo?
Aende tu kwa shekhe hakuna noma
 
Hakuna cha barua wala nini , wewe muulize huyo mwenzio taratibu za kwao zikoje then zifuate au pata Mzee mzoefu atakuongoza vizuri kuliko kuandika hayo mashairi yako
 
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuandika barua ya kumchumbia binti. Content yake inakuaje? Vitu vya msingi vya kujumuisha ndani ya maelezo, na je ni lazima tuweke hela ndani yake?

Najua hapa nitapata majibu sahihi maana kuna wakubwa wengi waliopitia hii stage.
Mkuu kama ww ni mgalatia barua ya nn sasa, sisi wakisto utaratibu wa barua hatuna labda kama dhehebu lako wanafanya au kama ni utaratibu wa kabila lako
 
Hivi JF ndio imefika kwenye comments za hivyo. Contents ni jina lako, wengine huandika umri na pia asili yao.
Kisha unaandika kusudio lako, kwa heshima na taadhima.
Sio ninaleta barua ya kuoa bali Ninaomba kuunganisha familia kupitia kwa mtoto wao mpendwa fulani binti fulani. Ni vitu basic tu, sio nina gari, Nyumba nk.
 
Iko dhahiri kuwa padri hajawahi andika hiyo barua hata mara moja, vipi ataweza kweli kumwelekeza vilivyo?
Aende tu kwa shekhe hakuna noma
Padre/padre kwa jina lingine anaitwa 'baba paroko', maana yake ni mlezi wa wana parokia. Katika mafunzo huwa anafundishwa yote hayo, yeye ni mshauri wa kwanza ndoa inapokuwa na matatizo.
 
Padre/padre kwa jina lingine anaitwa 'baba paroko', maana yake ni mlezi wa wana parokia. Katika mafunzo huwa anafundishwa yote hayo, yeye ni mshauri wa kwanza ndoa inapokuwa na matatizo.
But usimwamini sana padre au mchungaji na kumshirikisha katika mambo ya ndoa yako hata kama mmetofautiana.
I am a christian and for sometimes had chosen to be a priest but I ended here am today, yet I have the A B C of them.
 
Please don't generalise from your personal experience and your own opinion, there are priests who responded to the call of God and they have done a wonderful job in our society.
 
halafu sikuhizi wala hawaitaji mabarua wanataka mkwanja tu hawana mda wa kusoma
 
Sijajua kwa utaratibu wa kabila lako, lakini kwa kabila langu huwa anatumwa Mshenga, anatafutwa mtu wa makamo mwenye hekima na busara anatumwa huko akaongee na wazee/wazazi wa binti.

Kama ni utaratibu wa barua fanya hivi.

Andika address yako, tarehe na dhumuni la ile barua kisha andika maelezo mafupi kwa kutumia kiswahili fasaha na maneno yenye tafsida, kisha tafuta mtu unayemwamini akupelekee.
 
Please don't generalise from your personal experience and your own opinion, there are priests who responded to the call of God and they have done a wonderful job in our society.
Substantially there are those who are intentionally called for respond to do the work of God, and they are doing miracles indeed-I appreciate their work. But bear in mind there are numerous who are doing their own business in the name of the Holy Church, and these are the ones whom I refer-trust them not and let them not dare step in your home lest they "dwidwidwi" either your wife or your beautiful daughter.
 
Hivi JF ndio imefika kwenye comments za hivyo. Contents ni jina lako, wengine huandika umri na pia asili yao.
Kisha unaandika kusudio lako, kwa heshima na taadhima.
Sio ninaleta barua ya kuoa bali Ninaomba kuunganisha familia kupitia kwa mtoto wao mpendwa fulani binti fulani. Ni vitu basic tu, sio nina gari, Nyumba nk.
Asante sana mkuu
 
Hakuna cha barua wala nini , wewe muulize huyo mwenzio taratibu za kwao zikoje then zifuate au pata Mzee mzoefu atakuongoza vizuri kuliko kuandika hayo mashairi yako
Yeye kasema lazima ipelekwe barua kwanza
 
Mkuu kama ww ni mgalatia barua ya nn sasa, sisi wakisto utaratibu wa barua hatuna labda kama dhehebu lako wanafanya au kama ni utaratibu wa kabila lako
Mkuu mimi ni mgalatia lakini binti ni muislam na washakubali atabadili dini, but wamesema tupeleke barua kwanza
 
mzee fulani jua nimedata na binti yako kwa hiyo nataka nijimilikishe niwe napiga kihalali we niambie unataka nini na nini ili unipatie moja kwa moja
Dah mkuu hunitakii mema
 
Back
Top Bottom