Jinsi ya kuandika barua ya Uchumba

Jinsi ya kuandika barua ya Uchumba

Yani hizi hatua zinanifanya niogope kuoa kabisaa.Ila umri umetimia sina namna,
Na baada ya hizo hatua me nawaomba niishi na Mke wng habari ya matarumbeta tupa kule.
Matarumbeta mbwembwe tu.
Kikubwa mmeridhiana bhaaas.
 
Hivi JF ndio imefika kwenye comments za hivyo. Contents ni jina lako, wengine huandika umri na pia asili yao.
Kisha unaandika kusudio lako, kwa heshima na taadhima.
Sio ninaleta barua ya kuoa bali Ninaomba kuunganisha familia kupitia kwa mtoto wao mpendwa fulani binti fulani. Ni vitu basic tu, sio nina gari, Nyumba nk.
Ni kweli kabisa
 
Mila za ukweni zimenifanya nianze kuchepuka.

Ukiwa na mikwaruzank na mkeo eti hutakiwi kumwambia mama mkwe ili amuonye binti yake.

Ili nisife na presha inabidi nitafute hawara aniliwaze maana wakwe hawataki kusuluhisha.
Wapi huko mkuu
 
ngoja nikusaidie kuandike hiyo barua ya posa.

ni mimi..................................nimekuja kumposa binti yenu.........................toka nilipomuona kwa mara ya kwanza binti yenu mapigo ya moyo yalienda mbio,nikawa kula sili,kulala silali,nikinywa maji namuona kwenye glass,nilichompendea binti yenu adi nikaona nilete posa,ni ayo mahaga yake hips,ana hips za ukweli bila kusahau inyegwede,tukija kwenye macho yake akiniangalia ni kama ananiita,yani kutoleta posa kwenu ingekuwa ni jambo ambalo ningejutia sana.
pia chuchu zake ni saa 6 kwa kweli nikaona nilete posa leo,infact mkiniruhusu nimuoe binti yenu mtaenjoy sana,mtakula bata,nampango fungate pia niwashirikishe na nyie wazazi twende sote,mtafurahi sana yani msipoteze hii bahati ivo mniruhusu ni muoe bint yenu.
nina sababu kubwa ya kuwaambia mniruhusu nimuoe binti yenu,mimi niko na pesa sana mtaenjoy for da rest of ur life,
ni wako mme mtarajiwa wa binti yenu mashalah.................
weka sahihi.......................
tarehe.........................

huu ni mtazamo wangu wakuu nimemsaidia ili apewe mke na posa ikubaliwe,mia
Pumbavu kqbisa hupat mke hapo
 
Hivi posa ikikataliwa, hiyo hela uliyoweka inarudi au?
 
Wee jamaa ni kapumbavu! Unaleta maskhara kwenye mambo ya msingi?

Back
Top Bottom