Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Usajili wa Kampuni unahitaji documents nyingi, moja ya document muhimu ambayo kama ikikosewa utakataliwa usajili ni "Katiba ya Kampuni"
Ili katika yako iwe imekamilika inahitaji kua na vipengele kadhaa, hivi ni baadhi na vya muhimu zaidi;
1. Jina la Kampuni
Jina la Kampuni linatakiwa kuonekana kwenye page ya kwanza kabisa ya katiba.
Hii ndio inabeba usajili mzima.
2. Aina ya Kampuni
In most cases itakua ni private company limited by shares na ni lazima uoneshe kua office zake zitakua mainland Tanzania au Zanzibar
3. Objectives
Hapa utaelezea aina za biashara zitakazo Fanywa na Kampuni yako
4. Mtaji
Mtaji ni sehemu muhimu ya katiba ni lazima uandike ni mtaji kiasi gani unaweka katika Kampuni
5. Shareholders (wanahisa)
Ni lazima uelezee ni namna gani umiliki wa hisa katika Kampuni upo na kila mwanahisa anamilikj hisa ngapi kwenye Kampuni na zenye jumla ya Tsh ngapi.
6. Directors
Kampuni ni lazima iwe na directors kuanzia wawili, utatakiwa uandike majina yao, powers, appointment, and removal conditions.
Ukikamilisha vipengele hivi vizuri, katiba ya Kampuni itakubaliwa na usajili utaendelea.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara na Kampuni.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.