Jinsi ya kuachana na mwanamke bila ugomvi

Yaani ww hukumpenda huyo mwanamke kwann uliingia ktk uhusiano nae? Hapo ndo ulipoharibu. Na huyo dada kalishwa chuki, dharau na hatimaye kawa na roho mbaya. Hata mimi nadhani nisingependwa na mume wangu labda nisingekua mke mwema. Msingi ukiwa mbovu hakuna kitakachofanikiwa hapo mtaendelea kuishi kwa kukomoana na visasi. Namhurumia huyo dada. Kweli kupenda sio kazi kazi kupata akupendae.
 
Mkuu! Ningekutakana, Mwanaume sharti awe mwanaume, hasa pale anapostahili kuonyesha uanaume wake! ss ww umelazimishwa kuonyesha uanaume wako na haujaienyesha mpaka ss, pole sana ila kwa ufupi! janga umejitakia mwenyewe!
 
doohh....ya dunia mengi hhandugu....achana nae ila mpe pesa ya mtajivajikwamue yy mwenyewee...sio kumuacha solemba...hapo hata jamii itakuona umefanya la busara coz wanaume wa namna hii ni wachache
 
kama nakuona mkuu ukila kichapo, hongera kwa kuvumilia ila kama unajipenda achana nae.
 
I beg to differ, am sorry to say hata wewe una matatizo. Hivi mwanmk akung'ate, akufinye, abebe visu. We utakua umemfanya nn wakati huo. Ipo namna, jiangalie kwanza mwenyewe
 
Duh! Wewe inavyoonekana una tabia ya kuzoa zoa, sasa ukakwaaa kisiki cha mpingo kwa huyo chakaramu! Pole kwa mkasa...
 
Kisukari umenifurahisha sana. Ku wrap kikojoleo undo kutumia ndomu? Hahahahaaaaaaa
 
daah hata kumwombea shemeji msamaha nakosa kwa kuanzia. Ana makosa mengi mno cha msingi tafuta kujikim kwako mwachie getto nenda kapange mbali na umwachie hapo adeal na life lake na wewe mtunze tuu mwanao.
 
Anafikiaje hatua ya kukung'ata?hadi alama kakuachia?Duh huyo ni baunsa na wewe si mwanaume unatakiwa umdhibiti kabla ya kuanza kukuparua na kukung'ata
 
Hujaachana nae mkuu anakupiga,sasa ukimuacha itakuwaje.....Nenda nae kituo cha polisi then mkifika pale mchane mbele ya askari kuwa humtaki tena
 
Back
Top Bottom