IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
Labda ni wale wa msg... "mjukuu wangu mimi super feo nimerudi toka Congo na ndangu matata sana.... "Wakati wa kukopa ulikuwa mstaarabu, sasa unatakiwa kulipa deni unamuona mdai ni msumbufu unataka kumblock, hivi hujui ni kosa la jinai wizi wa kuaminiwa?